Kaibua kipaji gani wakati wachezaji wote hao wametengenezwa yeye akawanunuaKwa mwaka huu Arsenal ni wakali. Kwanza wameanza kwa kipigo tu kwa wote waliocheza nao. Hii ni balaa. Man U wajiandae kuaibika kwa kweli........ DHAHAMA ITAWAJIA KWA KASI SANA.....
FURGUSON SI MTAALAM SANA WA KUIBUA VIPAJI VYA WAJEZAJI.... WENGER NI KIBOKO YAO...
MWENZIO AKINYOLEWA WEWE TIA MAJI
Kwa mwaka huu Arsenal ni wakali. Kwanza wameanza kwa kipigo tu kwa wote waliocheza nao. Hii ni balaa. Man U wajiandae kuaibika kwa kweli........ DHAHAMA ITAWAJIA KWA KASI SANA.....
FURGUSON SI MTAALAM SANA WA KUIBUA VIPAJI VYA WAJEZAJI.... WENGER NI KIBOKO YAO...
MWENZIO AKINYOLEWA WEWE TIA MAJI
Bet yako ni Sh au $$ ngapi? Nataka niweke oda ya bia mapema kabsa, staki longolongo.
Wapenzi wa Arsenal naona wamekimbia wote, kumbe hawana imani na timu yao, wanasubiri bahati nasibu kila siku, sasa leo titaona!
unauhakika?Wameshakimbia zile kelele hamna tena
Season hii timu yangu mzozo.
Teh teh teh msimu uliopita?
Teh teh teh msimu uliopita?