Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo game zilizobaki ni za moto kuliko hata zilizopitaAjabu ni kwamba na Draw ya jana huenda bado hali ni ile ile Six Pointer na Man City asifungwe..., ila hii tabia ya kupoteza two goals lead inaonyesha Tatizo kubwa zaidi Naona kuna Potential Banana Skin kwa Chelsea na Newcastle ukinibana sana hata Brighton na Wolves sio Vibonde...
- Southampton (home)
- Man City (away)
- Chelsea (home)
- Newcastle (away)
- Brighton (home)
- Nottingham Forest (away)
- Wolves (home)
Sidhani kama walipoteza Game Jana tu, Tena kinachotisha ni kupeteza a Two Goals Lead mara mbili mfululizo unaweza ukasema Pressure is getting to them na wakiendelea hivi wanaweza hata mechi na Forest wakafungwa au Draw... (Huo ndio Mpira)Hizo game zilizobaki ni za moto kuliko hata zilizopita
Niseme tu kwa upumbavu walofanya jana hawa ndugu zetu ubingwa watausikia tu
Na hii deduction inatokana na Footballing Knowledge; Hunch au Kitu gani ? (Unajua its no longer on their hands)? Hawa washinde leo kuna Newcastle; Brighton na Chelsea wakipata Manager mpya kuna kitu kinaitwa New Manager SyndromeAlthough sipendi Arsenal ashinde lkn naona kama leo wanaenda kushinda na vilevile watabeba hili kombe la EPL.