Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Shukuruni kwamba mlipata magoli mapema lakini game mlikuwa mnafungwa
Arsenal 1 P'mouth 0 goli la Arsenal lilifungwa na Gallas katika dakika ya 88
...
...mbona mapema, kama shati utavutwa tu ...haya, sie jumapili tunakidunda na 'vibonde' wa Portsmouth, halafu ndio tutajua Happy au Sad new year...
Wish you well Manda, all da best
Is it mapema kweli?...duru la pili ndio hilooo lishaanza!, by the way i ve already counted you guys off no doubt about that!..Liverpool ndio wanatupa kichwa kuuma sisi(nao sio ki vile sana).
mkuu mbona umekata tamaa na chama usiwe na wasi wasi mzee Wenger anakuza vipaji si unajua AW economist...mnh, what a roller-coaster! AW is taking us for a ride, ...it is just another 'tasteless' victory followed by loads of blah blahs from the gaffer 'eti' about our chances of winning the EPL title! 🙁
mkuu mbona umekata tamaa na chama usiwe na wasi wasi mzee Wenger anakuza vipaji si unajua AW economist
Breaking News iliyopo kwenye Sky Sports sasa hivi ni kwamba- Zenith St Petersburg wameconfirm kwamba wanafanya mazungumzo na Arsenal kuhusu Andre Arshavin.
Sasa hivi ni kujitahidi kuipata nafasi ya tatu au ya nne lakini ubingwa tumeshaukosa labda itokee miujiza. Ni half time sasa Arsenal 0 Bolton 0.
Bubu Villa kamchapa WBA 2-1 leo kwa hiyo hata tukishinda hakutakuwa na mabadiliko kwenye table! Hawa jamaa siku ya kuwakamata ilikuwa jmosi ile tulipocheza Villa Park, nilikuwa nshahesabu points tatu! But ndio mpira huo, in that week- same sh*t happened (last minute equalisers!) kwenye game za Chelsea V Fulham na ile ya Rovers V City!
ARSENE WENGER has made a £5million move for Lazio's Mobido Diakite but has been told to come back with a bigger bid.
The Arsenal manager has been hunting for a powerful centre-half and, at 6ft 4ins, the lightning-quick Diakite fits the Emirates mould.
The Italians want at least £10m for the French-born star.
Diakite has recently returned to the Lazio side after breaking a leg last season and is eligible for the Champions League.