Kusema ukweli ishu hata sio Jens Lehmann. I mean, kafanya makosa, sawa. Awekwe bench kidogo au Almunia aingie golini, haitaleta tofauti. i) Almunia sio mkali kama Jens ii) Kumweka benchi Jens kwaweza haribu confidence yake zaidi iii)Bora Jens abaki golini, confidence ijirudi. iv) Lehmann without confidence > Almunia. He will be fine.
Ishu Arsenal inahitaji striker mfunga magoli, period. Sielewi kwanini AW anakua stubborn hivyo. Sometimes analalamika vitu vya ajabu. Analalamika sijui Blackburn wako violent. Sasa si mpira ndo hivyo kwa timu zingine? Bolton walikuwa wanatesa sana Arsenal, sasa naona imekuwa Blackburn.