Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
- Thread starter
-
- #61
Alumunia ameokoa goli kuwapa Arsenal goli moja la ushindi na kuwapa kipigo cha kwanza Man City waliowatwanga United last week. (1-0) Sven not a happy man.
wewe tangu lini ukawa ARSENAL au basi tuu unajipendekeza
Hivi bado mnaamini Arsenal hawahitaji strikers/finishers? Maana kitakacho iangusha Arsenal ni ufungaji magoli.
ManU wakiaanza kufunga magoli, watawaacha Arsenal wanasuasua. Chelsea ndo kabisa, yenyewe yako efficient utafikiri timu ya MECCO enzi zileeee.
Oya wewe; acha unazi... Man kimeo kabisa!
Oya nyie brazameni na Ole acha kuleta siasa kwenye soka hapa. Ninyi hamwezi kukaa zizi moja nahisi --- mtabamizana tu.
Man mwaka huu kazi mnayo, jifariji tu; na big G lazima mnunue lundo kumsaidia jamaa yenu. Kama si Arsenal basi jua Chelsea watapelekesha. Man ninawapa prediction ndogo sana.
Pole defunkadelic kwani matarajio yako yanaonekana makubwa kwa hawa mashetani, kamata bunduki ikibidi usaidiane na brazameni kupambana na "The Bluez" 🙂
Kujipa moyo muhimu babu eh!
Arsenal 3-1 Portsmouth
Do you still dream about Henry?............Teh TEH teh ....
Don't think so.
Oya wewe; acha unazi... Man kimeo kabisa!
Oya nyie brazameni na Ole acha kuleta siasa kwenye soka hapa. Ninyi hamwezi kukaa zizi moja nahisi --- mtabamizana tu.
Man mwaka huu kazi mnayo, jifariji tu; na big G lazima mnunue lundo kumsaidia jamaa yenu. Kama si Arsenal basi jua Chelsea watapelekesha. Man ninawapa prediction ndogo sana.
Pole defunkadelic kwani matarajio yako yanaonekana makubwa kwa hawa mashetani, kamata bunduki ikibidi usaidiane na brazameni kupambana na "The Bluez" 🙂
Kujipa moyo muhimu babu eh!
Not bad, not bad. Ila bado naona Arsenal wanaringa kufunga magoli mengi.
(spurs)ni watani wa jadi hao, kuwafunga magoli mengi itakuwa 'kuukebehi' utani!
kesho ni mzuka 2 arsenal vs sevilla
nadhani tutawapiga 3-0 hakuna cha kutuzuia kulawamba hao sevilla
kesho ni mzuka 2 arsenal vs sevilla
nadhani tutawapiga 3-0 hakuna cha kutuzuia kulawamba hao sevilla