Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kati ya Arsenal na Chelsea, Arsenal have a bright future ahead of them..Ila kufanikisha ilo policy mbili,tatu za Wenger inabidi zibadirike swiftly. To me inaonekana Le Professeur bado yuko stuck kwenye The Invisible Era.
 
Masikini akipata......ni msemo tu lakini simsemi mista, ha ha!.

Angalau alifarijika na ushindi huo dhidi yenu..Pole mkuu maana kinauma,bado weekend hii na Man U!.

...mnh, nyie sawa tu πŸ™
 
Yani kama mashabiki wake kisirani tuu!! Ebu tupishe uko tujichukulie kombe letu.

Yani kama mashabiki wake kisirani tuu!! Ebu tupishe uko tujichukulie kombe letu.

...te he hee! πŸ˜€ acha mbwembwe mazee, matokeo yanajulikana hata mechi haijachezwa.
 
...te he hee! πŸ˜€ acha mbwembwe mazee, matokeo yanajulikana hata mechi haijachezwa.
Haha, mkuu sie tunataka kombe letu tuu hizi habari nyingine baadaye, maana season ilivyoanza mpaka Christmas nimenyanyaswa sana na washabiki wa Liverpool.

If you want me to get the club bust, I am not the person to do that, that is for sure.'
Huyo kocha wenu naona anaelekea kugoma kuvunja benki na kununua wachezaji wakati wa majira ya kiangazi.
 
....binafsi natamani jumamosi Arsenal tupate kichapo kitakatifu toka kwa Man U, huenda likawa fundisho kamili kwa huyu gaffer ambaye heshi visingizio vyake kila tukishinda; "I have no doubts about the younger players because I see them every day and what we work on, you could see that on the pitch here."
 
Wayne Rooney looks to take title against Arsenal

...te he he! ...inaonekana wengi mmeshakisahau kile kichapo!
 
...te he he! ...inaonekana wengi mmeshakisahau kile kichapo!

Hili ndio tatizo lenu kuanzia kocha mpaka mashabiki yani bado mko trapped kwenye miaka ya nyuma.
 
Thread alianzisha GT yeye mwenyewe hajaalalamika
 
...hivi kesho tukiwafunga Man U itakuwaje? ...mnaleta utani sana nyie, ngoja tuwageuzie kibao sasa...
 
...hivi kesho tukiwafunga Man U itakuwaje? ...mnaleta utani sana nyie, ngoja tuwageuzie kibao sasa...

Itakuwa hara of course maana kujifananisha na man utd mnapenda sana.
Mpunguze majonzi na kulipiza kisasi cha uefa..ha ha ha
 
...hivi kesho tukiwafunga Man U itakuwaje? ...mnaleta utani sana nyie, ngoja tuwageuzie kibao sasa...

Si ndio mnachotaka, maana mnacheza kukamilisha ratiba hakuna cha zaidi.
 
manu wanatuondoa mzee,mie hii ligi hata hamu nayo sina tunalipia membership card bure hakuna raha zaidi ya karaha.mzee wenger kahamaki leo baada ya kuulizwa kuhusu adebayor na manu agent(silvestre).
 
manu wanatuondoa mzee,mie hii ligi hata hamu nayo sina tunalipia membership card bure hakuna raha zaidi ya karaha.mzee wenger kahamaki leo baada ya kuulizwa kuhusu adebayor na manu agent(silvestre).

Polepole ndugu
 
Hongereni Wapenzi wa MANU kwa kuwa mabingwa mwaka wa pili mfululizo. Baada ya kuona Ronaldo, Tevez na Rooney wote wanaanza nikajua SAF kapania kuondoka na kapu la magoli. Pia kutokana na goli letu kuwa na gunia nikasema haya si chini ya tatu leo πŸ™‚ lakini kama kawaida yetu tukatandaza soka la uhakika lisilo na magoli maana tunataka kumpiga chenga mpaka na golikipa. Pamoja na possession ya mpira karibu 60% mashuti tuliyoelekeza golini sidhani kama yalifika hata matano. Nafasi tulizozipata leo kama mngezipata nyinyi basi si ajabu mngetuchapa 4-0. Kwa mara nyingine tena hongereni sana tutakutana tena mwakani hopefully tukiwa na kocha mpya. πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…