Arsenal (The Gunners) | Special Thread

...'Yaaaaaaaaaaaaaawwwwnnn!'
...duuuh, likizo ndefu tena ishaanza ku bore! kelele za usajili tunawaachia kina Chelsea, Man U na Liverpool. 🙂

 
aaah wenger bahili na yeye na wafaransa wake wa bei cheap.....
 
aaah wenger bahili na yeye na wafaransa wake wa bei cheap.....

...na kweli bro, ila bora ya Arsenal kusajili the 'unknowns' kama ilivyokuwa Gael Clichy, Nicolas Anelka, Sagna, nk kuliko Man U ambao hawaishi kusajili Big Names ambao huja kuwa mchekea tu baadae,...

Man U 2001 walimsajili Juan Sebastian Veron kwa £28m, mwaka jana Dimitar Berbatov kwa £30m 😀 ha ha haaa...
 

Wivu utakuwa unawasumbua si bure.

 
Wivu utakuwa unawasumbua si bure.

...haha ha, duuuuh! wafurukutwa wa Man U utawajua tu, hata kwenye msimu wa usajili wao wanaleta Bifu ha ha haa 😀
 
Wivu utakuwa unawasumbua si bure.
Sio utani ukija kwenye na transfer policy Wenger yupo juu kulinganisha na Fergie.
History of Ferguson buys including mabomu kibao kwa bei ya hasara kabisa, akina djembadjemba, forlan veron nk. wanam-bambikia kwa sana tofauti na Wenger ambaye ni shrewed economist.
hawa ni baadhi ya aliowasajili Fergie kwa bei mbovu:
1:Berbatov 30millions+!!
2.Rio ferdinand £29 millions!
3. Juan Veron £28 millions!!!
4. Tevez 22 millions + !
5. Wayne Rooney (18 years kid) 27 millions!!
6. Michael Carrick £19 millions!
7. Owen Hargreaves £ 18 Millions!
and the list goes on!!!!
 

Weka na list ya vikombe vile vile.
 
Mkuu Eqlypz hiyo itakuwa mada nyengine ila hili ulikubali 🙂

Washabiki wa Arsenal wote ukitaka kuwakasirisha waletee habari ya vikombe tuu. Haya nimekusikia mkuu.
 
Mkubwa Ferdinand,Rooney,Carick wote wanastahili hizo bei tangu wamekuja Man wamebeba ubingwa wa England mara 3 mfululizo,Champions league na makombe ya mbuzi kibao Mchezaji ambaye Fergie alichemsha ni Veron na aliuzwa Chelsea kwa pauni mil 15.Hargreaves na Berbatov hatuwezi kuwajudge wamecheza msimu mmoja
Tevez hajasajiliwa anacheza kwa mkopo wa pauni mil 10
Mbona hujazungumzia wachezaji ambao Fergie amewanunua kwa bei chee kama Evra,Vidic,Ronaldo
 
Wachezaji ambao Wenger alinunua kwa hela nyingi Reyes,Wiltord,Walcott wote hamna lolote afadhali Wiltord na ameuza wachezaji kwa bei ndogo/bure
Flamini,Vieira,Hleb,Henry,Diara,Bentley,Aliediere
 
na sio big 4 wote walioshinda makombe.

In recent years timu ambayo haijachukua EPL ni Liverpool tuu lakini wamelipia kwenye CL miaka michache iliyopita.

Endeleeni kununua wachezaji wadogo wa bei rahisi wakuzeni mpaka wawe big stars alafu muwauzie wengine kwa bei rahisi.
 
In recent years timu ambayo haijachukua EPL ni Liverpool tuu lakini wamelipia kwenye CL miaka michache iliyopita.

Endeleeni kununua wachezaji wadogo wa bei rahisi wakuzeni mpaka wawe big stars alafu muwauzie wengine kwa bei rahisi.
tofauti ni kwamba hatujamwaga hela nyingi kiasi cha club kubaki kwenye misukosuko ya fedha kama liverpool au chelsea .hatutatumia over spend na kujiweka kwenye hasara kubwa kwa ajili ya kushinda kombe.tutaendelea kutumia resources tulizo kuwa nazo na tutachukua kombe bila wasi wasi kama tulivyofanya mwanzo.ndio maana wenger anaitwa proffesor na kwa kikosi alichokuwa nacho wenger ungempa manager yoyote mwingine wa top 4 hata top ten sijui kama angemaliza kwa sababu upeo wao mdogo wanatumia nguvu ya hela sana.
 

Belo kwa habari za kuaminika ni David Gill na agents wa Tevez almost wameshafikia makubaliano bei ni hio 22 million + subiri tangazo tu.
Na kusema Carrick ama Rooney eti wamelipa kwa vile tu wamo ktk squad? hivi Rooney amefunga mabao mangapi tokea ajiunge? jee ina justify bei alonunuliwa? jee ana thamani gani kama mutaamua kumuuza hivi sasa? Ni hype tu juu ya hawa English players lakini hawana thamani ivo!
 
Theo Walcott defies Arsène Wenger over England Under-21s call-up• Arsenal manager twice tried to talk winger out of Under-21s

• Pearce backs his player in club versus country row

David Hytner The Guardian, Wednesday 10 June 2009 Article history


Theo Walcott has told England Under-21 manager Stuart Pearce that he would like to be part of both England squads. Photograph: Eddie Keogh/Reuters​


Theo Walcott was so determined to play for England's Under-21s at the European Championship in Sweden that he resisted two attempts from Arsène Wenger, his manager at Arsenal, to persuade him to stand down and rest at home.

Wenger has made no secret of his *disgust at Walcott being asked to play first for the senior England team, in the World Cup qualifiers against Kazakhstan and Andorra, the latter of which takes place at Wembley tonight, and then Stuart Pearce's Under-21s. Fearing burn-out for Walcott, he has maintained that the 20-year-old ought to be selected for one squad, but when it became clear that he would be picked for both Wenger sought to apply some pressure of his own.

He phoned Walcott twice to discuss the situation and attempted to convince him that his longer term interests would be best served by playing only for Fabio Capello's team. He said that he wanted to withdraw him from Pearce's squad and he then called the Under-21s' coach. *Walcott, though, has consistently said that he wanted to play for England whenever selected and at whatever level and Pearce told Wenger that he would insist on the player's participation at the championship, which kicks off next Monday. England have group fixtures with Finland, Spain and Germany.

"My first conversation was with Theo," said Pearce. "I told him that I would like him at the Under-21s but that I wouldn't like to say to Fabio to leave him out of the seniors so we could have him. He thanked me for that. I said that in a perfect scenario, I would like to see him represent both and he was in agreement. Theo thinks the Under-21 tournament will be fantastic for him, as he's never actually played in a major tournament at any age group.

"I spoke with Arsène after that and I just told him my plans for Theo. Credit to him, he didn't agree. I did say to him that I'd spoken to Theo. I have got an utmost respect for Arsène and I understand his point of view but we beg to differ a little bit and the most important driver in the whole conversation was the fact that Theo wants to be part of both squads."

Walcott, who missed the previous Under-21 championship in the Netherlands two years ago through injury, feels he owes Pearce a debt for standing by him after his return from the 2006 World Cup, in which he did not feature. Walcott's performances for the Under-21s, when he was not a regular in the Arsenal team, helped to rebuild his confidence. The winger also insists that he feels fresh now, having missed four months of the season from mid-November with a shoulder injury.

"The one thing I would say from my experience as a player is that you never know when you are going to get injured," added Pearce. "I would say to any player, 'If you are selected for your national team, play as many matches as you can'. I did. I'm not speaking as someone who has been through the mill and picked and chosen my games. You bet your bottom dollar, when you are 35 or 40, you cannot do it any more. I can't play any more. I wish I could."

Pearce argued that Walcott will not have played much more football this summer by being involved with both national teams. Walcott appeared for only 45 minutes of the 4-0victory in Kazakhstan last Saturday and were he not now preparing for the Andorra game, Pearce said that he would have played him in the Under-21s' warm-up fixture against Azerbaijan in Milton Keynes on Monday night, which England won 7-0.

Wenger is expected to give Walcott extended leave and ask him to report back for pre-season training in the third week of July.
 
Tevez anaondoka Man U ,kuwa mchezaji sio lazima kufunga bali ni mchango gani unutoa kwenye timu ,unamaanisha kwamba mchezaji anayefunga magoli mengi ndio bei yake inongezeka so Anelka ana bei kubwa kuliko Tores kisa kafunga magoli mengi,wachezaji wa England ni expensive ndio maana hapo Arsenal amebaki Walcott
 
Tuesday's football transfer rumours: Sakho to Arsenal?



Mamadou Sakho, right, most certainly not the new Patrick Vieira. Photograph: Philippe Perusseau/EPA


19-year-old Mamadou Sakho when he signs him from Paris Saint-Germain this summer and thrusts him into the centre of the Gunners' defence. Sakho is of Senegalese stock and has been capped by France Under-21s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…