Arsenal (The Gunners) | Special Thread

^^ Kwa mechi ya Jana waliokuwa na bahati mbaya ni Asenali
 
nawapa na kuwaonea huruma arsenal kwa kipigo wanachokuja get next week kwa mabingwa man utd...na nazidi pata hofu kambi ya mourinho itazidi ongezeka...due to maendeleo mabovu ya liverpool
 
Ces is on Fabre-GAS!!
Twas good on the eye. Not so sure about Gallas though....had a few misplaced passes. And this is the guy who had been crying like a baby during the summer transfer.

Manure itakuwa gemu poa kabisa.
 
nawapa na kuwaonea huruma arsenal kwa kipigo wanachokuja get next week kwa mabingwa man utd...na nazidi pata hofu kambi ya mourinho itazidi ongezeka...due to maendeleo mabovu ya liverpool


Sasa hivi moto wa kuotea mbali ni Arsenal. Alex Ferguson alikuwepo jumapili kuwaangalia Arsenal walipokuwa wanawashughulikia Liverpool. Kumbuka kilichotokea mwaka jana Alex bado ana usongo nacho.
 
Young Gunners on a roll.
Sheffield UTD 0 - 3 Arsenal
Goli la kwanza la Eduardo duuuh!!
 
Arsenal not at their best forced manu to a draw (2-2), but missed three clear goals.


Arsenal 2-2 Man Utd.


Cesc Fabregas celebrates his equaliser
for Arsenal against Man Utd


 
haki ya mzungu tena wameponea chupi chupi....ooops i mean chupu chupu
 
Mmechomoa kizali zali tu...

haki ya mzungu tena wameponea chupi chupi....ooops i mean chupu chupu


Mkuki kwa nguruwe lakini hamkumbuki mliposhinda white-Hart Lane misimu miwili iliyopita baada ya kubamizwa. Mmeanza kulialia kama watoto wadogo mkiongozwa na kocha wenu. Nani alisema mpira ni dakika 80?
 
AF alimaliza sijui jojo ngapi? Jamaa alikuwa hajatulia huyo. Halafu jamaa Manu wakifunga anapiga vipepsi....mzee wa watu atapata heart attack.
 
kwenye msafara wa mamaba ht kengem wapo

kwa hiyo man utd ni kenge 2 kwa arsenal

kwanza refa alikuwa upande wao 2
 
Mbona mnataka kuua thread ya Gunners?? Heehee. Hii inapandishwa tena juu. Na hivi tumebugiza Reading 3-1. Adebayor kaibiwa goli. Offside za kusingiziwa.
On top with a match in hand.
 
Watu bwana!
We acha tu- sijui kwa nini hawapendi kukubadi na hatimaye kuyatambua mafanikio makubwa ya Arsenal!
 
ni kawaida ya waswahili wala si jambo la kushangaa

wewe waache jinsi walivyo ikifika mwakani mwenzi wa 5 watakubali wenyewe kuwa chama kubwa lilikuwa halibahatishi

hapa kazi 2 kwa kwenda mbele
 
Who is your daddy??
Arsenal wanazidi kukandamiza. 3 points clear with a game in hand.
2-0.
MaNure mpo?
Nawakumbusha tu.
 
Mzee- mimi Arsenal Number 1- timu yetu inatisha mwaka huu! MU wanasita kukubali- sielewi kwa nini?
 
Jamani, heshima kitu cha buree.
Arsenal ni juu tuu.
Hata msogeze.
hiii hiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…