Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi ni arsenal, ila kwa hili nakataa Kumbuka ume tuandalia ubingwa kila msimu[emoji23][emoji23]
View attachment 3196273

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa katelekeza kabisa jukwaa, nakumbuka alimuahidi mtoto wake msimu uliopita kuwa arsenal akibeba ubingwa sijui atamnunulia nini.

Yan anamchosha dogo kwa ahadi hewa wakati anajua kwenye moyo wake arsenal hata iwe nini hawezi chukua epl.
 
hahaha, eti mchambuzi nguli.
 
Jokes aside.

Worst run, kocha kasema mpira ulikua tatizo.

Havertz, Saliba na Timber wote walikua na fursa za free header. Shots na chances vyote vingi. 3. xG shida iko wapi?

No striker.

But, siyo ishu. Against nyumbu na kenge haijawahi kua sure tuna run gani kwa muda huo, so on 12th ni kushinda tu
 
Arteta ni wenga aliechangamka
 

Attachments

  • 1736328035127.jpg
    289.1 KB · Views: 2
Liverpool kwenye uwanja wao wa Anfield anaweza kumpiga Spurs zaidi ya goli 3 akasonga mbele, je nyinyi Arsenyau mnauwezo wa kuwapiga Magpies goli 3-0 pale St. James' Park?
Kwanini isiwezekane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…