Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama kuna kitu kinaniumiza kichwa ni hizi taarifa za flop rashford kuja arsenal.very disgusting news.
Tulichukua Sylvester,welbeck,Gallas,William,harvets, sterling nk don't we learn a lesson?.

Hakuna timu first class itakubali kukupa potential player unless kuwe na very critical reaso kama ya kimahusiano au very deep competition ya namba.

Rashford kwangu ni mchezaji mvivu na mwenye bahati kiasi ila mwenye big EGO
 
Sisi tuliuza fab Chelsea akawapa taji.
Clitchy,nasri,sagna waliongeza Mataji city ila sisi hawa flop wanakuja kula pension tu.

Ni kama man u ilivyo dampo la veterans
 
Kuna idea ipo kwa mashabiki mtaani na humu pia, ikiongozwa na hamis77 kwamba Arteta is IRREPLACEABLE.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ukimsikia sasa Masingeli anavyompamba huyo Tetea kwa kumpa sifa za Masterclass, Tactician, Genius unaweza kudhani huyo Tetea alishawahi kupata tuzo ya Ballon d'Or, kumbe kwenye maisha yake yote ya soka na miaka yake 12 aliyoitumikia Arsenyo hajawahi kubeba kombe lolote la maana zaidi ya FA na Emirates.

 
kama umegundua kati ya top 6 teams ni timu yetu tu ndio ipo hovyoo kwenye transition moments, kwenye top flight unahitaji kuwa bora in different game aspects, why are we worse in transition? tunakosa profile kama Rashford. Unahitaji wachezaji wazuri kwenye hizo moments, sisi tunaye Martinelli, Saka ni mzuri kwa transition sababu ya brain ila kasi yake sio sawa na Rashford au Martinelli, tunaye havertz ambaye ni mzuri kwenye hizi moments ila mchezeshaji ni Odegaard, ingekuwa havertz na bruno impact ungeiona, saka X Rashford X Martinelli hapo lazima wafungee kwa transitions
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Rashford tunamtoa kwa bei ya hasara tu, tupeni £80m fasta tuwagee teka la ball awapatie Epl [emoji471] kabla Madrid hawajamuwahi kwa £120m.
 
Nakubaliana na wewe kwamba hatuna transition killers.

Ila unamuona rash akiwa cream tunayoihitaji.?
Wakati unaangalia namna tutakavyoshambulia kumbuka pia namna tunavyojilinda.kwa setup ya team yetu tunaishi na hii sentensi"the first line of attack is the first line of defense" rash ataweza?

Una odergard na harvets ambao kiulinzi sio wazuri sana,ukiongeza rashford huoni kama tutaongeza team imbalance?.

Kwangu Mimi namuona rashford kama mtu ambaye anatakiwa kuzungukwa na cream ya Hali ya juu mnoo ili akupe quality.

Katika kitu tumepoteza ni fluidity tunapoanzisha mashambulizi na interceptions tunapojilinda.rush ni mzuri kama system imekaa sawa.tunahitaji a lethal,brutal,peaceable,dribbler and very clinical person pale mbele.rash ana offer vitu vichache sana.
 
Tatizo hili limesababishwa na nini maana wachezaji ni wale wale.
 
Pep yupo nje ya top four sasa hivi.

So baada ya hii January kutumia 170M kusajili kisha akaweza kurudi pale juu watu watatuambia Pep ni kocha genius sana.
 
Tatizo hili limesababishwa na nini maana wachezaji ni wale wale.
Kama unakumbuka wakati arteta anapewa timu matarajio na mafanikio yalipangwa kwa phases.

Hata wachezaji tuliokuwa nao na tuliosajili wengi walikuwa ni kwa ajili ya kutengeneza mazingira ya kuaminiwa na world class players.walikuwa wanajenga standard ya timu na kurudisha trust na support ya fans na investors.

Wachezaji kama tavarez,Lokonga and the likes walikuwa ni level raisers .Tulipoingia phase four na five tulihitaji toptop class players.

Eneo la defense you see quality regardless makosa ya mara mojamoja .

Ila upande wa midfield we lack something.
Attacking line inakosa toptop quality.

Na hapa ndipo unapoyaona makosa ya wamiliki na matajiri wa timu.
Sajili nyingi tulizofanya tunazofanya ni option B au C na hii inachangiwa na kutoingia katika bidding war au slow negotiating process inayotokana na installment za ajabu za malipo.

Kuna makosa ya kocha kama sajili ya harvets and the likes ila ukweli unabaki wazi kwasasa ili uchukue Epl huhitaji tu kocha ambaye ni tactical genius bali you need money to spend,a lot of money.

Unasajili mtu asipo click usisubiri miaka mitatu find immediate replacement.

Angalia anachofanya pep na man city January hii halafu subirini may.


Kuumia kwa key players wa man city maana yake quality kwenye pitch ilipungua,wameliona na 170m imeshatumwa kutatua tactical and technical deficiency

Wasalaam
 
Man city yenye rodri,gundo,berndo,foden,kovacic,grealish,doku,kdb and halland Ina struggle na watu hawamtazami kocha ila wanahoji current quality kwenye pitch.

Angalia sisi sasa.
Una Kai,martinell,Saka,Jesus,trossard, jorginho,partey,rice and merino.kama ni mtu wa michezo you see something.

Hata tumpate don Carlo kwa aina ya approach yetu kwenye soko tutazidi kuteseka.

Splash quality over the pitch then hoji tactical aspects za kocha
 
Kocha nae kimeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…