Arsenal (The Gunners) | Special Thread

#ARTETAOUT
 
Sema mnaosema arteta out nawashangaa sana.

2021/22
Man city- EPL

Liva- FA, carabao cup

Chelsea- club world cup

Arsenal- mpira mzuri cup,

Man u kapa

2022/23
Man city- EPL, FA, UEFA

Man u- Carabao cup

Arsenal- mpira mzuri cup, kufuzu uefa cup, overloading cup, positional play cup.

Liva- kapa

Chelsea kapa

2023/24
Man city - EPL

Man utd- FA cup

Liverpool- carabao cup

Arsenal- community shield cup, kucheza uefa cup, mpira mzuri cup

Chelsea -kapa

Mnaosema arteta out mchunguzwe akili kwakweli.
 
Ni ngumu sana kocha kukaa miaka mitano man u, liver, na timu nyingine kubwa bila kuchukua ubingwa mkubwa.
Ila ni jambo la kawaida kocha kukaa miaka 6 arsenal bila ubingwa wowote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arteta ni Eric Ten Haag anayevaa Modo, Hawezi kuwafikisha Asenyo popote.
Tafuteni kocha wa kueleweka ndugu zangu.
Tetea sio kocha, yule ni mwalimu wa mazoezi ya viungo, msipolishtukia hili na kutafuta kocha wa kueleweka kila msimu nyinyi mtaendelea kua wapenzi wasindikizaji tu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Waache mkuu, phase ziko 70 na sasa wako phase 5. Na kila phase inachukua mwaka
 
Hii mnalala mzee, achana na kuwa mnatimu mbovu, kingine mnagundu wazee[emoji1]

Arsenal hajawai kushinda na hii mijez miuepe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseeee haya mkorea njoo ufute kauli yako, tunataka uelezee umma kati ya Arsenyau na Man Utd ni timu ipi ina Gundu.

Hivi malengo haswa ya Arsenyani kucheza mpira ni nini? MAANA HATUWAELEWI.

Ifike kipindi arsenyo muachane na mambo ya mpira mjaribu hata kilimo cha mboga mboga[emoji23][emoji23][emoji23]

 
Halafu anatokea mwehu mmoja amakwambia kuwa Arteta ni football genius ukilinganisha na 10Hag. Yule Ten Hag alikosa udhubutu wa kumtimua Rashford tu ili ajenge timu yenye morali na muunganiko sawia.
 
Kuna kenge humu zinaamini kwamba bado Arteta anaweza kuwapa mafanikio,,,, mnaweza kufika hata phase 1000 na msipate hata kikombe cha uji !







Fukuza Arteta, ondoa magarasa , sajilini vizuri mtengenez project, baada ya 2/3 years mnaweza kuongea moja sasa ! Magoli ya open play yamekauka kabisa,,, mnategemea setipisesi sio,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…