Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

😂😂😂😂😂😂😂😂😂 dah.

Ukifukua comment za wadau humu msimu wa 2022/23 kuhusu genius arteta na leo hii unaweza kuvunjika mbavu ase dah 😂.

Enzi hizo Aaron arsenal anaongoza mapambio kabla hajamkabizi mic Hamiss77.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah.

Ukifukua comment za wadau humu msimu wa 2022/23 kuhusu genius arteta na leo hii unaweza kuvunjika mbavu ase dah [emoji23].

Enzi hizo Aaron arsenal anaongoza mapambio kabla hajamkabizi mic Hamiss77.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usilolijua Aaron Arsenal, Ordegard na hamis77 zote ni account za mtu mmoja A.k.a Masingeli.
Sema kuna chawa zake mkorea na arsenal2004 sijui zina hali gani huko ziliko?
1710748027241.jpg
 
Arteta ni kocha mzuri msimfukuze tatiZo anarundo la wachezaji weng wa kawaida

Huwez kusema merino na rice ndio wawape ubingwa nip 😄😄😄
 
Haya sasa leo ni siku ingine. Tuachane na yaliyopita.

Nataka kuona jinsi gani tutainuka na kukamata form tena kwenye mechi zijazo. Maana ukifika hapa ni rahisi kuendelea kuanguka.
 
Back
Top Bottom