Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Kwa kweli....Carabao - out
FA - out
UCL - out
EPL - out
Emirates - [emoji471][emoji471][emoji471] View attachment 3200123View attachment 3200124View attachment 3200125
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli....Carabao - out
FA - out
UCL - out
EPL - out
Emirates - [emoji471][emoji471][emoji471] View attachment 3200123View attachment 3200124View attachment 3200125
😂😂😂 Huyu ni false hoper first class.Nataka niwahakikishie wana gunners na mamluki wengine mnaoingia humu.. huu msimu ni wetu! Mtake msitake!
Na kama tukiwa nao Saliba na Partey kwa mechi 37 zilizobaki kwenye PL basi tutegemee makubwa zaidi.
Time will tell.
Ndioo kocha la dunia lileeArteta in squad selection hana mpinzani
Huwa ananikosha sana[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ata ikitokea mnakosa matokeo kocha hana la kulaumiwa
#COYG
Aisee hii mbayaAt the mean time mashabiki wamemfuata DM mke wa Kai na kumuandikia ujumbe ambao mke wa Kai akashare.
View attachment 3200285View attachment 3200286
Ukimwi upo zingatia KingaNgoja niende online nitafute kazi ya kuspend nayo usiku. Nishashikwa na hasira.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usilolijua Aaron Arsenal, Ordegard na hamis77 zote ni account za mtu mmoja A.k.a Masingeli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah.
Ukifukua comment za wadau humu msimu wa 2022/23 kuhusu genius arteta na leo hii unaweza kuvunjika mbavu ase dah [emoji23].
Enzi hizo Aaron arsenal anaongoza mapambio kabla hajamkabizi mic Hamiss77.
Ruto akakusaidia kubeba EPL sio?William Ruto “Hustler" Ambaye Ni Shabiki Mkubwa Wa Arsenal Ameshinda Na Kutangazwa Kuwa Mshindi Wa Uchaguzi Wa Uraisi Kenya 🇰🇪.
#COYG 🔴⚪
Hapa hakuna kuinuka mkuu. Edu ametangulia, Arteta afateHaya sasa leo ni siku ingine. Tuachane na yaliyopita.
Nataka kuona jinsi gani tutainuka na kukamata form tena kwenye mechi zijazo. Maana ukifika hapa ni rahisi kuendelea kuanguka.