Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi ni united Lia Lia, timu yetu Bado sana lakini arsenal Kuna kitu wanakikosa, hawana "aura" ya aina yoyote ile na hata mentality, wana shida kubwa, nilitegemea timu kama arsenal imekaa muda sana kujengeka basi mechi kwao ingekuwa rahisi zaidi baada ya ile Kadi. Hata aura of authority tu hamna, sajilini aisee, toeni hela aisee, itakuwa kituko mmejenga timu nzuri halafu Kila siku muwe runners. It's not good at all wazee.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkorea una hali gani sasa hivi huko uliko?
Masingeli alijua kuwaharibu sana mentalities zenu wewe pamoja na arsenal2004
Ukipata nafasi uwe unakaa hata na HENRY14 awe anakufundisha mawili matatu kuhusu arsenyo na mpira kwa ujumla.
1736709052444.jpg
 
Ilikua rahisi kustick around kwenye huu uzi early arrival ya Arteta kwakua deep down kila mtu alijua kwamba tupo hovyo so there is not much we can do.

It os very difficult kipindi hichi kwakua everything is out there for us to grab ila ni kutojua kupress advantage, poor mentality na spirit. Nimewahi sema Arteta anaogopa kusajili ili asihojiwe.

Asiposajili hata mashabiki mnagawanyika, kuna wataosema ila hajasajili. Ila akisajili kila mmoja atahoji.
 
Ilikua rahisi kustick around kwenye huu uzi early arrival ya Arteta kwakua deep down kila mtu alijua kwamba tupo hovyo so there is not much we can do.

It os very difficult kipindi hichi kwakua everything is out there for us to grab ila ni kutojua kupress advantage, poor mentality na spirit. Nimewahi sema Arteta anaogopa kusajili ili asihojiwe.

Asiposajili hata mashabiki mnagawanyika, kuna wataosema ila hajasajili. Ila akisajili kila mmoja atahoji.
Nenda wewe ukapewe nafasi ya arteta sio unabwekabweka humu
 
2005 we are beating united to win FA cup via penalties

Naikumbuka hii game enzi hizo na mimi ni false hoper [emoji23][emoji23] , home kukawa na kikao cha harusi ikabidi niingie chini ya kochi niendelee kuangalia game . Alikosa tuta kama sikosei ni scholes yule lehman akapangua, pia frednand alifunga goli likakataliwa .
 
FA out
Bado Carabao
UCL
Na ligi

Carabao ipi kaka?? Mbona mmetoka carabao tayari ligi huko wala usiwaze maana ni imposible, kombe lenu pekee lilikua hili na UCL huko ndo kabisa futa mawazo.

Arteta kafanya kazi iliyokuw inahitajika karudisha false hopes ambazo wenger alikua anawapa na mimi nikiwemo japo tofauti ni wenger alitoa false hope kwa zero budget ila arteta kwa budget kubwa anatoa false hopes .

Tuliwaambia unaona arsenal inacheza haitengenezi chances then mkawa mnatoa povu humu sasa man utd yupo pungufu lakini bado mnafungwa na kila mmoja anajua man utd current ni mbovu ila arsenal current ndo ipo peak lakini inatoka holla .
Hio ndo maana halisi ya false hopes
 
Bro tatizo la Arsenal ni zaidi ya Striker. Of course tunahitaji Striker lakini Nafikiri ni mentality zaidi. Kukosa ubingwa muda mrefu Arsenal imewafanya kuwa na mentality ya uoga sana hasa kwenye mechi zilizo na pressure. Roho ya upambanaji hawana ni waoga wa mechi sana hasa timu ambazo hatuna historia nazo nzuri uwanjani. Ukweli ni kwamba wachezaji wetu hawajui kucheza mechi hasa zinazoamua mustakabali wa nafasi yao katika kutafuta ubingwa. Liverpool hao hapo hawana striker wa maana lakini unaona spirit ipo na hata ukiangalia kikosi Chao ni kawaida tu.. It's all about mentality.. Rodrigo hakukosea

Leicester hawakuwahi kuchukua ubingwa before lakini ilipofika muda wakaona ubingwa huu hapa mbio zake zilikua za maana sana.
Jinsi unavyozidi kushinda ndo mentality inakuwa kubwa na si vingine , hii mentality kwa miaka mingap mnaitafuta ? Toka enzi za wenger kuna msimu ule ramsey on fire ikafika x mas holla , msimu na leicester arsenal kashinda with one game in hand na swansea mkaongoza half time kipindi kilichofuata mkatiwa mbili game ikaisha ubingwa mkakosa rasmi , game na leicester welbeck alipiga kichwa last second nikavua mpaka shati [emoji28] nikaona ubingwa si ndo huu.

Game na Bournemouth ivyo ivyo nikavua shati nikaona ubingwa si ndo huu goli alilolipiga nelson .

Kilichofuata nikavua jezi ya arsenal nikasema false hopes basiiiii!!!!!!!! For 20 years it’s enough.

HAKUNA CHA MENTALITY NYINYI NI FUNGU LA KUKOSA[emoji23]
 
Back
Top Bottom