Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Project ya msimu huu kwa mujibu wa Edu alisema Ni kuleta Quality players TU

Hivo wanasema Winger anayekuja sio backup Kama wengi tunavyodai ,Ni anayeweza kuingia kikosin na akakupa A performance

Edu alisema phase ya ku implement structure ilikuwa last season, ndio maana wachezaji waliosajiriwa Ni Potential na wanaoingia kwenye mfumo wa mwalimu , Kina Aaron Ramsdale, Odegaard, Tomiyasu, n.k ,

Phase ya 2 Ni kuweka mawe tu


🚨 Arsenal’s primary focus in the last days of the window will be bringing a wide player. The club only want a player that they’re convinced that will add top quality. Reports, @David_Ornstein.View attachment 2328699
Phase ya ngapi sasahivi?
 
Arteta na Edu wanajua kutafuta wachezaji aisee!... Yaani Sasa hivi Hata nikisikia wanamtaka mayele, nitawaamini tu!
Kweli ndugu yangu, nasikia dirisha hili wanamtaka joshua mutale, yule atatufaa sana kufanya positional play na kina kai na kuongeza attacking firepower kule mbele.
 
Kweli ndugu yangu, nasikia dirisha hili wanamtaka joshua mutale, yule atatufaa sana kufanya positional play na kina kai na kuongeza attacking firepower kule mbele.
Na Deborah akapige inverted left back. Hatari na nusu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nukuu 3 muhimu toka kwa kocha la ball, Masterclass, tactician, The genius, professional football manager Mikel Arteta baada ya kutolewa kwenye mashindano ya FA.


Arteta: I love my players. I love our team and I love how good they are and what they do because in 1000 games, you should loose one and probably it was this one.


Mikel Arteta: "What this team produces every three days is incredible, regardless of what happens... It's very difficult to ask something else of our players.


Mikel Arteta: "Are we going to win big trophies? I don't know."
View attachment 3201488
Daaaah. Mkuu hizi umeniwahi kuzituma mkuu. Kocha amekata tamaa kabisa.

Zina hizo kauli Zina tofauti Gani na zile za ETH
Screenshot_20250114_160303_Chrome.jpg
 
Album Title: Arsenal

Tracklist:

1. This is our year
2. Corner bam ft. Saka
3. The ball is bad
4. Next season ft. Evra & Netflix
5. Not Arteta’s fault
5. Chelsea scammed us ft. Havertz & Sterling
6. Trophyless season again (Legacy)
 
Baada ya ishu ya abuse ya Kai nahisi Arsenal imebidi waonyeshe kuna juhudi wanafanya ili kuimarisha kikosi.

Juhudi ya kwanza ni kufunguka kwamba Zubimendi yupo kwenye advanced talks na ya pili ni Arteta kusema hii January wanatafuta wa kusajili. Tofauti na mwanzo alivyodai hana mpango.

Hii itawapoza mashabiki.
 
Baada ya ishu ya abuse ya Kai nahisi Arsenal imebidi waonyeshe kuna juhudi wanafanya ili kuimarisha kikosi.

Juhudi ya kwanza ni kufunguka kwamba Zubimendi yupo kwenye advanced talks na ya pili ni Arteta kusema hii January wanatafuta wa kusajili. Tofauti na mwanzo alivyodai hana mpango.

Hii itawapoza mashabiki.
Maneno mengi vitendo sufuri bin sufri.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkorea una hali gani sasa hivi huko uliko?
Masingeli alijua kuwaharibu sana mentalities zenu wewe pamoja na arsenal2004
Ukipata nafasi uwe unakaa hata na HENRY14 awe anakufundisha mawili matatu kuhusu arsenyo na mpira kwa ujumla. View attachment 3200057
Tunaenda kuweka nguvu ligi na uefa

FA na carabao kwa Arsenal bado ni failure
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu Zubeda aliwakataa Liverpool timu yenye makombe mengi ya Uefa kuliko timu yoyote England halafu eti aje awakubali nyie Arsenyau kirahisi rahisi tu?
Halafu hamjiulizi kwa nini hizi story zimeibuka baada kufungwa na Utd na kufurushwa kwenye michuano ya FA?
Hizo ni janjajanja za viongozi wa Arsenyo kuwapoza machungu mashabiki wake baada ya kuona msimu huu pia Arsenyau mnatoka mikono mitupu.
 
Back
Top Bottom