Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,897
- 7,074
Kwa namna tunavyocheza au kuna namna flani timu yetu inakuwa hatari tukiwa na profile kama Jorginho at #6, si mwingine bali ni zubimendi, Agenda za Partey is not a right profile at #6 zimepita, Arsenal na Arteta wanajua hilo, taarifa za zubimendi zina justify watu walichokiona kipindi cha nyuma kwamba Partey sio #6 tunayemuhitaji japo pia sio mchezaji mbaya, ni mazingira tu.