ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,337
- 7,593
Daaaah. Mkuu hizi umeniwahi kuzituma mkuu. Kocha amekata tamaa kabisa.
Zina hizo kauli Zina tofauti Gani na zile za ETHView attachment 3201722
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaah. Mkuu hizi umeniwahi kuzituma mkuu. Kocha amekata tamaa kabisa.
Zina hizo kauli Zina tofauti Gani na zile za ETHView attachment 3201722
Usifananishe wenger na huyu chizi mwenye kiburi na kujiona kamaliza.. Bila ya kubadilika arteta anajimaliza mwenyewe.Carabao ipi kaka?? Mbona mmetoka carabao tayari ligi huko wala usiwaze maana ni imposible, kombe lenu pekee lilikua hili na UCL huko ndo kabisa futa mawazo.
Arteta kafanya kazi iliyokuw inahitajika karudisha false hopes ambazo wenger alikua anawapa na mimi nikiwemo japo tofauti ni wenger alitoa false hope kwa zero budget ila arteta kwa budget kubwa anatoa false hopes .
Tuliwaambia unaona arsenal inacheza haitengenezi chances then mkawa mnatoa povu humu sasa man utd yupo pungufu lakini bado mnafungwa na kila mmoja anajua man utd current ni mbovu ila arsenal current ndo ipo peak lakini inatoka holla .
Hio ndo maana halisi ya false hopes
Mchezaji ana vision, mfano hapo wanaoo muuza usi kute Kuna buy back clause.
iki isha hivi hivi, unyama sana
Shida ni kwamba tuna game ya derby.iki isha hivi hivi, unyama sana
Sema arsenal tunge mwendea, yule isack inge kuwa unyamaShida ni kwamba tuna game ya derby.
Na hawa liver kwa hizo dakikana takwimu za hadi sasa ni bado mapema
City anaongoza ana points 37.Sema arsenal tunge mwendea, yule isack inge kuwa unyama
Tunge, inge, mshaanza kua kama uto sasa[emoji23][emoji23]Sema arsenal tunge mwendea, yule isack inge kuwa unyama
City ni nani kwa ArsenalTunge, inge, mshaanza kua kama uto sasa[emoji23][emoji23]
Vp tuwape calculator muanze kufananisha points zenu na za city.????
Kombe linatutafuta misimu hii 3 ila kocha la dunia sasa, utaona ya leo na Spuds tunambwela.
Your current world champion.City ni nani kwa Arsenal
Hii info Arsenal anatakiwa kuifanyia nini?Your current world champion.
Your current world champion.