Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Carabao ipi kaka?? Mbona mmetoka carabao tayari ligi huko wala usiwaze maana ni imposible, kombe lenu pekee lilikua hili na UCL huko ndo kabisa futa mawazo.

Arteta kafanya kazi iliyokuw inahitajika karudisha false hopes ambazo wenger alikua anawapa na mimi nikiwemo japo tofauti ni wenger alitoa false hope kwa zero budget ila arteta kwa budget kubwa anatoa false hopes .

Tuliwaambia unaona arsenal inacheza haitengenezi chances then mkawa mnatoa povu humu sasa man utd yupo pungufu lakini bado mnafungwa na kila mmoja anajua man utd current ni mbovu ila arsenal current ndo ipo peak lakini inatoka holla .
Hio ndo maana halisi ya false hopes
Usifananishe wenger na huyu chizi mwenye kiburi na kujiona kamaliza.. Bila ya kubadilika arteta anajimaliza mwenyewe.
 
Screenshot_2025-01-14-23-29-49-215_com.twitter.android-edit.jpg
 
Jesus baada ya kuumizwa juzi huu msimu kwake ndiyo umeshaisha.

White anaweza kuanza kucheza kuanzia games tatu mbele.

Wale majeruhi wengine bado timeline ni ile ile.
Hayupo Jesus wala Nwaneri then option inayobaki ni Trossard, Martinelli na Kai. Jorginho kaumia, nisingeshangaa angeanzishwa kwakua Arteta kwenye hii quest ya kutafuta internal solutions amekua anajaribu vitu vingi hadi visivyoingia akilini.

Watani wanakua wa moto tukikutana ila hii mechi na sisi tuko kwenye run mbovu na pressure handling iko hovyo game inaenda kua ya kungojea makosa ya mtani kwenye pressing
 
José Mourinho:

"Kwa mawazo yangu Mimi lakini, Arsenal FC haina sifa yoyote ya kuwa timu kubwa."

"Kila mara utasikia timu Ina nguvu (strong) lakini hamna Cha maana wanafanya kupata Mataji."

"Hakuna timu kubwa ambayo inacheza vizuri bila kupata Mataji."
 
Back
Top Bottom