Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Usifananishe wenger na huyu chizi mwenye kiburi na kujiona kamaliza.. Bila ya kubadilika arteta anajimaliza mwenyewe.
 
Jesus baada ya kuumizwa juzi huu msimu kwake ndiyo umeshaisha.

White anaweza kuanza kucheza kuanzia games tatu mbele.

Wale majeruhi wengine bado timeline ni ile ile.
Hayupo Jesus wala Nwaneri then option inayobaki ni Trossard, Martinelli na Kai. Jorginho kaumia, nisingeshangaa angeanzishwa kwakua Arteta kwenye hii quest ya kutafuta internal solutions amekua anajaribu vitu vingi hadi visivyoingia akilini.

Watani wanakua wa moto tukikutana ila hii mechi na sisi tuko kwenye run mbovu na pressure handling iko hovyo game inaenda kua ya kungojea makosa ya mtani kwenye pressing
 
José Mourinho:

"Kwa mawazo yangu Mimi lakini, Arsenal FC haina sifa yoyote ya kuwa timu kubwa."

"Kila mara utasikia timu Ina nguvu (strong) lakini hamna Cha maana wanafanya kupata Mataji."

"Hakuna timu kubwa ambayo inacheza vizuri bila kupata Mataji."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…