3 big chances
3 big chances missed
Goli la Trossard ni aina ya goli analokupa striker constantly.
Ni kweli ni miongoni mwa timu tunacreate big chances nyingi. Ni kweli pia kwamba ni miongoni mwa timu tumescore magoli mengi.
Lakini ikiwa tunahitaji ushindi tunahitaji ST ambaye anaweza kutubail out tunapocheza na timu ambazo unadominate kila kitu ila unakosa tu mtu wa kupasia neti au kuvurumisha shuti kwenye impossible angle na likawa goli.
Current squad haiko vizuri mbele ya goli. Kuna mtu alitoa hoja tunamhitaji Bruno au Kevin lakini sisi shida siyo domination au chances sisi shida ni kuscore.
Bruno huko alipo anafanya nini ambacho akikileta Arsenal kitaiimarisha Arsenal? Kwa Kevin unaweza sema ni shot taker mzuri nje ya box, zaidi ya hapo nini kingine?
Nyumbu ni timu inayoongoza kupiga mashuti nje ya box EPL hii ni kwakua nyumbu hawana uwezo wa kuzivunja defense na kucheza ndani ya box la kipa. Hii ndiyo sababu pia Hojlund kwa nyumbu anakua ni mwana mpotevu.
Arteta anaamini majeruhi wakirudi watairudisha timu in the right track. Tatizo ni kwamba at the moment tutadrop points unnecessarily