arsenal win &ggGame saa tano line up subiri saa nne.
Hii game Arsenal anahitaji asifungwe tu ili awe sehemu safi. Chekecha vizuri
Tunatafuta sare tu hapaHii game naiangalia ili nimuone Neto
View attachment 3218126
Ama uzushi au kuna lobbying imefanyikakuna kipindi niliona mahali kuwa Partey hawezi kwenda Spain? Au ilikuwa uzushi tu?
Wapi naweza check hii game love via online plsHii game naiangalia ili nimuone Neto
View attachment 3218126
KoraliveWapi naweza check hii game love via online pls
Kataka kudakia mpira nje ya eneo la kushika.Huyu Neto hamna kitu. Kuna kopo golini
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sterling sijui anafanya nini uwanjani?
Kakosa na PenaltSterling sijui anafanya nini uwanjani?