Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

MOTM today.
1735741652912.jpg
 
Makocha wao wakiperform mechi mbili tatu wanaanza kuwafananisha na Arteta. Shida hua inakuja kwenye consistency
 
Mbadala wa Kai huyu hapa

Kenge na nyumbu zijiandae
View attachment 3237101
Ila kile kipindi cha pili bwana mdgo Odegaard alikuwa kama iniesta hivi mchakamchaka tu....Mungu asaidie tuende hivi hivi mpk Bukayo na Martinelli warudi....hyu Nwaneri Saka akirudi aisee wamuweke hata pale forward atatufaa....mtoto ana balaa sana yule🤠🤠🤠
 
Makocha wao wakiperform mechi mbili tatu wanaanza kuwafananisha na Arteta. Shida hua inakuja kwenye consistency
 
Steringiiiiiii, uyu jamaa arteta aliona kipi cha special, chezaji vivu, hawezi kupiga cross, hawezi kushoot, mbio hana siku hizi, inshort ni zigo la misumali.
 
Back
Top Bottom