Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chelsea walipata goli baada ya mshambuliaji wao kumsukuma beki wa Brighton na kufunga. Goli likakataliwa.
Nakumbuka Newcastle walitufunga kwa kumsukuma bei wetu lakini pamoja na VAR, goli lao halikukataliwa. Nakumbuka pia mechi na Liverpool Havertz alikatwa mtama ndani ya boX. VAR wakasema no penalty wakati mimi niliona ile ni penalty na red card. Tulishinda 3-1 ila tungekuwa na ile advantage mapema sijui ingekuwaje.
 
Kwenye mechi ya leo haijalishi on paper na in field kotekote hakusapoti ushindi mwepesi. Hii ni kwakua huwezi predict mentality on paper, ni mpaka mechi ianze ndiyo inajua kua ingawa on paper we lack forwards ila mentality itatubeba kutupa magoli.
 
Kwenye mechi ya leo haijalishi on paper na in field kotekote hakusapoti ushindi mwepesi. Hii ni kwakua huwezi predict mentality on paper, ni mpaka mechi ianze ndiyo inajua kua ingawa on paper we lack forwards ila mentality itatubeba kutupa magoli.
@Castr hizi habari za Merino kujaribiwa kama Striker zimekaaje?
 
Screenshot_2025-02-15-14-20-13-731_com.instagram.android-edit.jpg
 
Mid zetu zingekua zinadrive in kwenda mbele swala la ST lingeweza kusahaulika ila kwakua sisi ni kuifuata pattern ya kushambulia ya unnecessary passes hii itafanya tuhitaji ST
 
Duh huyu si ndiyo alitolewa dakika ya 30 mkaanza kusema mliongopewa kua anajua mpira kumbe ni lofa?
Baada ya hapo mechi zilizofuata ulimuangalia? Ikiwamo hiyo yenu aliyombagaza Saliba.
 
Mara 1000 Calafiori angeanza kama LW kuliko Sterling
Mna shida nyie...hampo FA hampo Carabao. Hivi mara ya mwisho kuiona timu yenu inacheza ilikuwa mwezi gani tena. Kushabikia haka katimu shida sana aisee.
 
Laiti Nwaneri angekua ajax kumpata ingekua sio chini ya €100m
 
Back
Top Bottom