Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal wangese kweli, kama wangesajili January sasa hivi tungewapa kazi ya kufanya maana Arne Slut kuna viwanja vingi vya machinjio bado hajakanyaga.
Tusajili ili iweje sheikh?
20250202_214523.jpg
 
Arsenal wangese kweli, kama wangesajili January sasa hivi tungewapa kazi ya kufanya maana Arne Slut kuna viwanja vingi vya machinjio bado hajakanyaga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wasajili pesa waitolee wapi?
Unaambiwa pesa waliyotumia kumsajili Decline Rice ilipelekea almanusura timu kufilisika, sasa hivi ni mwendo wa kubeba wachezaji wa mikopo tu.
Kroenke ni mfanyabiashara amekuja kutafuta faida sio hasara.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau hivi mna habari yoyote kuhusu hatrick aliyofunga jana kijana wenu Super Chido Obi Martin dhidi ya Chelkenge?
1739431978916.jpg
1739432237248.jpg
1739432015094.jpg
 
ubingwa uko wazi,sema timu yetu haiko vizuri ubahiri utatuponza,liverpool bado hawajaexperience downfall ya season wanaweza kupoteza zaidi ya point kumi
 
ubingwa uko wazi,sema timu yetu haiko vizuri ubahiri utatuponza,liverpool bado hawajaexperience downfall ya season wanaweza kupoteza zaidi ya point kumi
Ubingwa unatutafuta ila hatuutaki kwa misimu hii 3 mfululizo.
 
Q
Kwa mpira wa siku hizi mchezaji inampasa awe anashinda mapambano yake, ikiwepo ground na aerial duals.

Huyu Mbappe na mwenzie Vini, ni wachezaji luxury sana. Washukuru wanacheza kwenye timu kubwa ambayo inapata matokeo, na hata timu zilizomo ndani ya ligi yao hazina ushindani wa hivyo. Ila ukiileta timu hii hii kwenye ligi ya uingereza sasa hivi wangekua wanapigania nafasi ya 13 na Man Utd.

Tena bora hata Vini, huyu Mbappe hata kukimbia tu timu yake ikiwa haina mpira hawezi. Pasi zinapigwa hapo hapo mbele yake yeye amesimama.

Tunamsema Kai, sawa sio mfungaji mzuri na general play yake sio nzuri. Ila kama unajitaji team player/mpambanaji, ni bora ya Kai kuliko Mbappe. Only because Kai can sacrifice for the team.

Mbappe ndio aina ile ile ya wachezaji wa kariba ya Rashford.
Ndio mana LiArteta linampenda sana Kai
 
Back
Top Bottom