Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta ana elements za kiuchumi za Wenger. Merino ni mid ila keshafanywa ST, hanunuliwi mtu
Kuna siku yule David Raya atazima pale katikati kama namba 6 Hilo linawezekana kabisa🤠🤠🤠....na wakiendelea kutuumiza Arteta atavaa jezi aingie mwnyewe uwanjani maana udambwidambwi bdo upo anao
 
Kuna mtu aliandikaga.sijui ni hapa au twitter. Aliuliza kwanini Arsenal haina utamuduni/ kawaida ya kusajili wachezaji ambao wapo kwenye form kama Gyokeres badala yake tunaenda kwa wachezaji plan B kama Isak?

Mimi kwa upande wangu ukiniwekea Isak, Gyokeres na Sesko, nitaweka Sesko first priority halafu nitaangalia mwenye gharama nafuu kati ya Isak na Gyokeres nimwongezee

Nadhani Arsenal tunahitaji zaidi forward ambaye yupo direct na aggressive sana kuliko hawa wa "kuupakapaka rangi mpira"
 
Hebu muangalie isak
Ni complete package
 
Arteta kamsajili Rice na Kai idea ni kwamba Rice anakua Partey na Kai anakua Xhaka.

Kai akafeli hiyo role mwanzo kabisa ikabidi afosi awe ST. Kisha Rice akawa anatarajiwa awe Xhaka sasa, lakini kwa kudhani Partey anaishiwa akasajili Merino.

Kwamba Partey anaondoka anamrudisha Rice DM na Merino anakua LCM. Merino mpaka sasa hajatendea haki hiyo position jana kafosiwa kua ST kascore magoli 2.

Summer, Zubimendi anakuja this means Rice bado hajaweza kucover pale DM, notice pia kwamba bado replacement ya Xhaka bado hatuna. Saka atapona, atarudi LW. Nwaneri is good atacheza wapi? Afanywe LCM au agewe wing?
 
Zubi na Rice wanaweza kuwa wanapokezana....idea ya Partey kuondoka mpk Sasa inaniwewesesha
 
Hebu muangalie isak
Ni complete package
Yupo vizuri ila kwasababu Arsenal tuna ball playing players wengi, nadhani ni vizuri tungepata mchezaji mwenye profile ya kitofauti.
Isak kama unamwangalia vizuri, sometimes analazimizisha kupita mabeki unnecessarily, matokeo yake anakosa magoli au anaua move ya goli.
Tunahitaji mchezaji anayeweza kushoto hata 40M hana mambo mengi.
 
Arteta kamsajili Rice na Kai idea ni kwamba Rice anakua Partey na Kai anakua Xhaka.

Kai akafeli hiyo role mwanzo kabisa ikabidi afosi awe ST. Kisha Rice akawa anatarajiwa awe Xhaka sasa, lakini kwa kudhani Partey anaishiwa akasajili Merino.

Kwamba Partey anaondoka anamrudisha Rice DM na Merino anakua LCM. Merino mpaka sasa hajatendea haki hiyo position jana kafosiwa kua ST kascore magoli 2.

Summer, Zubimendi anakuja this means Rice bado hajaweza kucover pale DM, notice pia kwamba bado replacement ya Xhaka bado hatuna. Saka atapona, atarudi LW. Nwaneri is good atacheza wapi? Afanywe LCM au agewe wing?
Unatumia vigezo gani kusema Rice hajaweza kucover DM?
Tatizo mnataka Rice acheze kama anavyocheza Partey.
Xaka naye alikuwa anatuoffer nini ambacho unaona hakuna mchezaji (Rice) anayeweza kufanya?
Hivi kuna mchezaji anayetupa energy kumzidi Rice Arsenal?
Weakness pekee ya kuboresha kwa Rice ni kwenye build up labda na vertical passes basi na sio kwamba yupo vibaya kihivyo.
 
Unauliza natumia vigezo gani kusema Rice kapwaya DM ikiwa hadi leo hajachezeshwa tena DM na nafasi anaicheza Partey au Jorginho?

Kama hujui alichokua anaoffer Xhaka na mpaka wanasajiliwa wachezaji wawili kuja kuziba hilo pengo mimi sina cha kusema.

Sina uhakika kama Rice ana hiyo trait, najua alikua nayo Saka. Ni vizuri kama Rice ndiye energizer wetu.

Sasa kama hana build up nzuri na pasi hayupo vizuri unamuwekaje DM? Naona umezunguka na kurudi pale pale.
 
Inavyosemekana. Rice ana offer vitu vingi Akicheza namba 8 kuliko akicheza 6
 
Back
Top Bottom