Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Ila kile kipindi cha pili bwana mdgo Odegaard alikuwa kama iniesta hivi mchakamchaka tu....Mungu asaidie tuende hivi hivi mpk Bukayo na Martinelli warudi....hyu Nwaneri Saka akirudi aisee wamuweke hata pale forward atatufaa....mtoto ana balaa sana yule🤠🤠🤠
Wanasubiri siku tukitoa hata droo wajazane humu.Hawaji leo na shombo zao
Chelsea inacover kama asilimia 75 hivi ya mshaharaHuu mkopo wa Sterling Mshahara wake analipa arsenal?