ThugMaster
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 1,594
- 2,234
Inawezekana Sterling na kocha wana uhusianoSterling ndiyo nguruwe kabisa sijui kaingia kufanya nini
Haya mateso wameyazoea nyumbu sisi hatustahili
Mimi naenda kulewaHii siku inaisha vibaya
Kumbuka na hapo mmemkosa Kurt Zouma!Hapana chezeya mtu anaitwa Wan Bissaka na Mohamed Kudus..
Kwa hiyo mlitegemea Nwaneri, Skelly wawape kombe pambaf zenu.
Mimi nimeacha dakika ya 87, maumivu yalikuwa yananizidia.Sterling ndiyo nguruwe kabisa sijui kaingia kufanya nini
Walitupiga zote mbiliLast season Westham walitufunga nyumbani
Unafikiri hata kama arsenal ataruhusiwa kusajili leo atasajili?Kuna msimu mmoja Barcelona iliomba kusajili ingawa la liga walishafunga dirisha