Kwa kuzingatia takwimu za jana na kikosi tungecheza na Atletico, Lille au Madrid jana tungefungwa.
Jana Arsenal ilikua ina big chances 6 dhidi ya PSV.
Atletico, Madrid na Lille statistically hawajapaki basi ila waliweza kuzuia mpinzani asitengeneze big chance. Wakati Arsenal ilimpa PSV big chances 3.
Pamoja na hayo, hizi timu 3 zote zina ST na forwards ambao kitakwimu wanatafuta magoli. They do it better kiasi kwamba ingawa hawana big chance ila waliweza kuscore.
Means, watajaribu kuscore kwa set pieces na hapohapo ni kuconvert possibility into a chance. Jambo ambalo Arsenal kwetu ni la moto.
This means, bila kubadilika sisi hatuna maisha marefu huko mbele. Kubadilika iwe kimfumo, mindset au wachezaji.