Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wazee wa next season.Msimu ujao wetu. Uhakika
Daah! Ngoja iwashangaze ndio mtaamini.Mechi 10 ni nyingi endapo Liverpool angekuwa yupo kwenye race ya ubingwa na team kama chelsea , man city, man utd or even Leicester city 🤣🤣🤣🤣 na sio yupo na arsenal.
Amini amini nakuambia hata Liverpool apoteze match 6 mfululizo bado chance ya kuwa bingwa ni kubwa kwake kuliko kwa arsenal.
Hivi hii arsenal mnaijua mnaisikia wanangu sisi ndo tunaijua arsenal, Arsenal kumuita bingwa ni mpaka uone kabeba kombe kakabidhiwa tayari odergard as captain na si tu kukabidhiwa bali kalinyanyua jui wameshangilia then kesho asubuhi ndo unaamka unasema arsenal bingwa pasi na ivyo hakuna ubingwa kwa arsenal
Mshamkamata au bado?Niliwaambia Liverpool tutamkamata February, hesabu zangu bado zipo valid
Liverpool upcoming games
Man city vs Liverpool
Liverpool vs Newcastle
Arsenal upcoming games
Arsenal vs westham
N. Forest vs Arsenal
UEFA or EPL moja letu
Kweli kabisaKwenye game ya Liver na Wolves, jinsi Liver wanavyocheza hata kama wameshinda, utagundua Liver upepo umeanza kukata.
Game yao na Aston villa nikajua hawa wakijitahidi sana sare. Na kwa jinsi Man city anavyocheza sasa hivi hasa nilivyoona ile game yao na Newcastle, hapa Liver lazima afe.
Nilikuwa nimekata tamaa ya ubingwa, kumbe mbio bado kabisa, kimasihara masihara Arsenal anachukua kombe.
Exactly 💯,this year has been forward ever and back step never 💪,once a gunner always a great disappointed.
Binafsi nishaikatia tamaa hii arsenalUnategemea Liverpool adondoshe points wakat we wewe unaendelea kuzidondosha..
ubingwa mtaubeba mapema sana na gemu sio pungufu ya 5 kabla kama arsenal ndio hii.Hapo kwenye arsenal kushinda zote napo mtihani, mimi ni shabiki wa liver lakini nitaanza kuhesabu ubingwa hadi zibaki mechi 5 na gepu liendelee kuwa hivihivi.
Hana tofauti na balogun huyo alitamba reims aliposajiliwa monaco kwa dau kubwa kapotea.. ligi nyingine ni dhaifu mziache kama zilivyoKuna Mika Biereth hapo Monaco anakiwasha balaa, alikuwa mtoto wetu huyu.
Muda utaongeaTumeshauanza mwezi wa 3, vipi wana Arsenoo bado mnamatumaini ya kuwakamata Liverpool
Ile mechi ya juzi kati na Forest iliniuma sana, niliikumbuka falsafa ya Ferguson ya winning spirit, makombe hayawezi kuja kwa lelemama.Binafsi nishaikatia tamaa hii arsenal
Hata zile za West Ham, Fulham, Everton to mention few.Ile mechi ya juzi kati na Forest iliniuma sana, niliikumbuka falsafa ya Ferguson ya winning spirit, makombe hayawezi kuja kwa lelemama.
Itatuchukua muda sana arsenal kupata kikombe cha ligi.Ile mechi ya juzi kati na Forest iliniuma sana, niliikumbuka falsafa ya Ferguson ya winning spirit, makombe hayawezi kuja kwa lelemama.