Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

😁
IMG_20250228_191306_788.jpg
 
Mechi 10 ni nyingi endapo Liverpool angekuwa yupo kwenye race ya ubingwa na team kama chelsea , man city, man utd or even Leicester city 🤣🤣🤣🤣 na sio yupo na arsenal.

Amini amini nakuambia hata Liverpool apoteze match 6 mfululizo bado chance ya kuwa bingwa ni kubwa kwake kuliko kwa arsenal.
Hivi hii arsenal mnaijua mnaisikia wanangu sisi ndo tunaijua arsenal, Arsenal kumuita bingwa ni mpaka uone kabeba kombe kakabidhiwa tayari odergard as captain na si tu kukabidhiwa bali kalinyanyua jui wameshangilia then kesho asubuhi ndo unaamka unasema arsenal bingwa pasi na ivyo hakuna ubingwa kwa arsenal
Daah! Ngoja iwashangaze ndio mtaamini.
 
Kwenye game ya Liver na Wolves, jinsi Liver wanavyocheza hata kama wameshinda, utagundua Liver upepo umeanza kukata.

Game yao na Aston villa nikajua hawa wakijitahidi sana sare. Na kwa jinsi Man city anavyocheza sasa hivi hasa nilivyoona ile game yao na Newcastle, hapa Liver lazima afe.

Nilikuwa nimekata tamaa ya ubingwa, kumbe mbio bado kabisa, kimasihara masihara Arsenal anachukua kombe.
Kweli kabisa
 
Dowman is a very big talent, tatizo hana stamina(something that csn be developed over time) pia anatumia mguu mmoja km Odegaard. i like players who strike the ball by both feet. kitu anachofanya vizuri zaidi world class level ni carry. hivi umegundua mchezaji anayefanya carries ni vizuri awe na uwezo wa kushot( ball striking) anakuwa hatari mara elfu, mfano;Mousa Dembele na KDB
 
Back
Top Bottom