Zamani wenger alisumbuliwa na vitu viwili uingereza.
1.timu ya man u
2.kocha morinho.
Amevunja huo mwiko wote kwa kumchakaza Manchester United 3 bila tena kampiga 1 na kusare ktk vipindi vya karibuni.
Morinho naye sasa hafurukuti tena kwa wenger. Hii game ni ngumu balaa lakini wenger vijana wake kwa game za hv karibuni wamebadilika kiasi kwamba si mteremko kufungwa na Man United.
Beki ya wenger na kiungo viko vizuri. Laccazate sasa ni moto mkubwa pale mbele zaidi arsenal yoyote anakufunga tu.
Hakika dakika tisini zitaamua but nawapa arsenal ushindi dhidi ya Man united.