joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Asante mkuumbili na nusu usiku
je utabiri huu itatimia?arsenal 1 man u 3
1-3 full time.
arsenal 1 man u 3
1-3 full time.
bado muda ngoja tusubiriUmetisha Sana Mkuu..
Kwelia Wewe Mr Q
duuh hatari mkuu mtu angekuwa na weza kitabiri namna hii kwa mechi tano kila siku tu muhindi angehama nchi.Mkeka haujachanika Mr.Q
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Am a Goooner thoughduuh hatari mkuu mtu angekuwa na weza kitabiri namna hii kwa mechi tano kila siku tu muhindi angehama nchi.
hahaha pole[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Am a Goooner though
Maneno yako yanaaminika zaidi hata ya neno aminika lenyewe. Maana mmempiga Man united goli 1 na yeye akawapiga 3.Umesema ni gemu Kali sana, mara Man ananafasi ya kushinda!! Umelogwa wewe. Man hawana ubavu wa kutufunga Gunner's amini maneno yangu.
Arsenal ilikuwa inasumbuliwa na Man U ya Sir Alex Ferguson..ila tangu aondoke man u kumfunga Arsenal ifanyekaz kwerkwer.na chengine uhasama wa wenger na mourinho..babu wenger hatokubali kejel za mourinho.tutegemee mechi suluhu.au man u wanyooshwe na giroud maana ndio mbaya wao huyo.
Umetishaarsenal 1 man u 3
1-3 full time.