Arsenal vs Manchester United

Arsenal vs Manchester United

Ngoja niweke akiba ya maneno..

Once a gooner, always a gooner [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
duuh hatari mkuu mtu angekuwa na weza kitabiri namna hii kwa mechi tano kila siku tu muhindi angehama nchi.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Am a Goooner though
 
Arsenal ilikuwa inasumbuliwa na Man U ya Sir Alex Ferguson..ila tangu aondoke man u kumfunga Arsenal ifanyekaz kwerkwer.na chengine uhasama wa wenger na mourinho..babu wenger hatokubali kejel za mourinho.tutegemee mechi suluhu.au man u wanyooshwe na giroud maana ndio mbaya wao huyo.

Aya sawa
 
Back
Top Bottom