Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo asrene wenger ameonyesha kuwa ni kocha bora hasa baada ya kufanya maajabu makubwa ya kuingia last 16 round kwa miaka 16 mfululizo.arsenal inamajeruhi wengi lakini wamefanya vitu adimu kwa wakati mgumu. Asante asernal leo
Unawachokoza Man U! Watakuja na mipovu yao kama vile nyati aliyejeruhiwa.
Kachukua ubingwa wa uefa mara ngapi na arsenal ina makombe mangapi ya uefa??
Amekwambia amefikia 16bora mara 16 afu unahoji ambalo hajakwambia ebo
Kwaiyo 16 bora ndo inapima uwezo wa kocha na ubora wa kocha
Yeye hajapost kuhusu nani hajabeba kombe amezungumzia kufika kumi nasita bora kwa wakati mgumu na kuweka record ya kurotolewa hatua hiyo toka awe kocha sasa unakurupuka na agenda nyingine nenden mchape ze comed alhamis huko kocha kazi kuandika uwanjan hadi dk 89anaandika kila mechi mtoe mapovu
Ndiyo maana anaitwa Prof