Arsene wenger ni bonge la kocha

Arsene wenger ni bonge la kocha

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Leo asrene wenger ameonyesha kuwa ni kocha bora hasa baada ya kufanya maajabu makubwa ya kuingia last 16 round kwa miaka 16 mfululizo.arsenal inamajeruhi wengi lakini wamefanya vitu adimu kwa wakati mgumu. Asante asernal leo
 
Hapo ndio tunajidanganya...haya last 16 mara 16...kombe liko wapi...
Porto mara moja sijui mbili na kombe juuu!!!
 
Leo asrene wenger ameonyesha kuwa ni kocha bora hasa baada ya kufanya maajabu makubwa ya kuingia last 16 round kwa miaka 16 mfululizo.arsenal inamajeruhi wengi lakini wamefanya vitu adimu kwa wakati mgumu. Asante asernal leo

Kachukua ubingwa wa uefa mara ngapi na arsenal ina makombe mangapi ya uefa??
 
Sawa lakini inaonyesha kunastandard ameziset na huwa hakosi tofauti na tema zingine amabozi ni kubwa lakini matokeo yanabadilikabadilika kama man u
 
safi sana mzee wenger. hongera giroud. hongera arsenal. uhondo huuu
 
Attachments

  • 1449698904481.jpg
    1449698904481.jpg
    52.2 KB · Views: 522
Kwaiyo 16 bora ndo inapima uwezo wa kocha na ubora wa kocha

Yeye hajapost kuhusu nani hajabeba kombe amezungumzia kufika kumi nasita bora kwa wakati mgumu na kuweka record ya kurotolewa hatua hiyo toka awe kocha sasa unakurupuka na agenda nyingine nenden mchape ze comed alhamis huko kocha kazi kuandika uwanjan hadi dk 89anaandika kila mechi mtoe mapovu
 
Jifunze kuandika kwanza
 
Najua muda si mrefu mtakuja kulalamika Wenger hafai ni kocha bomu.
 
Back
Top Bottom