Artificial Intelligence ni ulaghai

Huwezi sema calculator ina akili kuliko wewe kwa sababu inaweza kufanya hesabu ya kuzidisha na kupata jibu haraka zaidi yako.
 
Haha....hayo pia malengo Ya AI mkuu, Ai haiendelezwi kuwa na EQ bali ni kuwa na uwezo wa kutambua(detecting) na kufanya reasoning juu ya hisia za kibinadamu.
Kuna tawi la.kisayansi linalofahamika kama.Neuroscience , mambo kama ya Neurolink n.k , sasa hii sayansi yenyewe ipo katika hatua za.ukuaji , assume ndani ya miaka hamsini ijayo maendeleo yake yatakuwaje , AI zitaweza kuunganishwa na ubongo wa binadamu ili kujifunza namna ubongo unavyofanya kazi specifically kwenye maswala ya EQ na hio itakuwa ni hatua kubwa.

Wanasayansi wakubwa wanahofia AI kuwa tishio kwa binadamu kwasababu inaweza kufikia hatua kujitengenezea uwezo wao wenyewe wa kiakili tofauti na ule unaokusudiwa sasa hapa ndio tatizo kwasababu kama ni roboti lina akili litakuwa linamjua binadamu nje ndani na akiamua kutumia taarifa zako kukuangamiza huchukui muda ..Teknolojia kwa kasi yake ya ukuaji ni swala ambalo tu apaswa.kuwa nalo makini.
 
Mkuu kwani akili ni nini?


Huzuni, furaha, wivu, kupenda, kuchukia, kuota ndoto, kutamani .....ni akili? [emoji848]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwanza nikupongeze kwa thread nzuri sana ya AI japo umebase upande mmoja. Maelezo yako mengi yameegamia kwenye SIMPLE AI ambayo inakuwa controlled na mwanadamu mwenyewe. Hii kwa kiasi kikubwa upo sahihi lakini tukija upande wa pili sidhani kama upo sahihi.


Ikikupendeza zaidi soma vizuri kwanza nini maana ya neno ARTIFICIAL.

Then
1. Artificial intelligence ni nini?
2. Aina zake ni zipi? (Hapa ndipo utakuta kuna moja ambayo sometimes inaweza kujicommand yenyewe na ndiyo inaogopwa kwamba how siku ikitokea ikareact tofauti na matarajio ya mwanadamu?

3. AI future yake ni ipi? ....pointi ya 3 inakufanya usiangalie miaka ya leo au miaka 10 ijayo bali anzia miaka walau 50-100 ijayo. Kama leo watu wanaanza kutengeneza wanawake wa bandia kama yule Manuel Pellegrin.... Saudia wana Sophia then kuna ELIZA ambaye watu wa IPhone wanamuita SIRI vipi kuhusu miaka 100 ijayo?

Kuhusu biashara upo sahihi, watu wanaitumia kwenye brand zao kupiga pesa hiyo ni OPPORTUNITY COST acha wajanja wale pesa.

Ukitaka kuichimba deep msome JOHN MCCARTHY. Utaijua AI ndani nje na future yake hasa ni ipi.


Mwanafizikia mkubwa HAWKING aliwahi kusema kwamba AI inaweza kuwa ni kitu bora zaidi dunia kuwahi kukipata au kitu cha hatari zaidi kuwahi kutokea duniani hususani hizo complex AI ambazo zina uwezo wa kujicommand zenyewe. Akaandika mpaka barua ya wazi kwamba isije kutokea ikaanza kutumika kwenye vita hususani matumizi ya nyukilia kwa sababu madhara yake ni hatari mno.


Kama saivi tumeanza kuletewa neurolink, watu wanatengeneza chip ambazo zinaweza kurekodi ndoto kisha ukaja kuitazama baadae. Watu wanatengeneza chip ambazo ukiwekewa kichwani wanaweza kufuta kumbukumbu zako zote and still unahisi ni ulaghai mkuu?


Huenda tunatofautiana kwenye uelewa na mitazamo.


Naheshimu mtazamo wako na asante kwa somo zuri.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwani akili ni nini?


Huzuni, furaha, wivu, kupenda, kuchukia, kuota ndoto, kutamani .....ni akili? [emoji848]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ni vitu vinavyopelekea jinsi tunavyotafakari, kufanya maamuzi na kutatua changamoto mbalimbali, kuna uhusiano kati ya vitu hivyo na kutafakari kwa mtu kitu ambacho AI haiwezi.
 
"AI ni Automated Intelligence na sio Artificial Intelligence kwa maoni yangu na nina uhakika na hilo"
Nimeiuliza AI:
 
Nimezungumzia AI kwa ujumla, nafahamu kuna vitu kama deep learning ambayo ni subtype ya machine learning na machine learning ni subset ya AI.

Neural network katika deep learning imewezesha computer kufanya kazi kama ubongo ndio hizo speech recognition software kama siri n.k, computer vision n.k zinajifunza kutoka kwenye kiasi kikubwa sana cha data. Deep learning inatumia neural network au ANN(Artificial Neural Network).

Lakini yote na yote AI haitoweza kukaribia uwezo wa mwanadamu, its just a programming, AI haijitambui.

Hivyo nimeeleza labda kama utakuwa unamaanisha aina nyingine ya AI.

Hii deep learning inayotumia neural network ndio inaonekana kuogopwa zaidi kwenye AI, kwa sababu inajifunza kama mtu, ukiifundisha kucheza karata baada ya muda inakufunga.
 
Nini tofauti ya Mind, knowledge & intelligence?


Na hapo mwanadamu na AI unatofautisha vipi?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
AI na mwanadamu kuna tofauti kubwa si kidogo.

Mfano mdogo mwanadamu ni mdadisi katika mazingira, je AI ina udadisi?

AI inategemea kulishwa data, tons of data, binadamu ana uwezo wa kuyasoma mazingira haraka sana wakati huo AI inasuburi iwe programmed kutambua mazingira.

For any reason AI bado. Hata miaka 3000 ijayo haitoweza fika level ya binadamu, kwa sababu ni programming, haijitambui, imekuwa programmed kufanya hivyo.
 
AI , open ai wanasema ai itakuwa inatengeneza video kutokana na prompt za user, hivi hapa watu wa graphics hatujawakosa kweli?, yani mtu tuseme ana channel yake ya youtube anapost kufundisha kwenye zile video za illustrations akitumia ai .?
 
Yani Iran na mashia wanawatukana na kuwadhalilisha maswahaba. Iran na mashia wanamuita mke wa mtume Muhammad SAW kahaba. Halafu umma wa uislamu tumekaa tu kimya???
 
Yani Iran na mashia wanawatukana na kuwadhalilisha maswahaba. Iran na mashia wanamuita mke wa mtume Muhammad SAW kahaba. Halafu umma wa uislamu tumekaa tu kimya???
Wayahudi weusi mna shida sana.
Mmekaa mnawaangalia wayahudi wenzenu wakipinga biblia agano jipya na kupinga vikali mafundisho ya Yesu na nyie wayahudi kutoka Namtumbo mnawatizama tu jinsi wanadhalilisha kitabu kitakatifu?
 
Wayahudi weusi mna shida sana.
Mmekaa mnawaangalia wayahudi wenzenu wakipinga biblia agano jipya na kupinga vikali mafundisho ya Yesu na nyie wayahudi kutoka Namtumbo mnawatizama tu jinsi wanadhalilisha kitabu kitakatifu?
 
Acha kuishi kwenye fantasy za ujinga, AI is a real deal na inaonekana hufuatilii mambo yanavyobadilika kutokana na AI, Kila angle ya Maisha itaguswa na AI na improvement itakuwa mara millioni, na ni mwanzo tuu, Nina mengi ya kusema lakini nakuachia ufanye homework yako maana Google ni bure, Anza kuangalia kuanzia kwenye finance, agriculture, retail, pharmaceutical etc utajua kinachotokea, tatizo unapoishi (I assume uko bongo) hamjaanza kuona matokeo, wenzako wameanza kupiga billions kutokana na AI, subiri itakufikia kama internet ilivyokufikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…