Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali


La hasha,...Natamani huyo mwanadada nae aingiwe na moyo wa huruma kwa mwanamke mwenzake.
Tatizo la balaa hili, mfariji mzuri kwenye case hizi mara nyingi na kwa asilimia kubwa atakuwa mume/mke wa mtu.
Hii ni mtake msitake, na anayebisha aje atoe ushuhuda wake hapa.

Ufariji lengo lake la awali huwa ni kusikilizwa,....kueleweka, ...na mwisho kuliwazwa.
Hapa bado nazungumzia mahusiano ya mwanamke na 'mfariji' bila kuhusisha ngono
, kwani tendo hilo
(la ngono) si faraja inayofuatwa nje na wanawake walio wengi walio kwenye mahusiano yenye misukosuko
ya ndoa yao (wanaohitaji faraja ya moyo)


...hapo penye wekundu inaitwa emotional blackmailing aka 'Msukule wa Mapenzi.'
Ni kiasi cha mwanamke kujiambia sasa basi, itakuwa!
 
Reactions: bht
hasira hasara na unapofanya kitu kwa hasira au jaziba inakuwa ngumu kurudi ... sidhani kama kuna sababu ya kujiuliza mara mbili2 ... arudi kwa muumewe aachane na mshefa
 


Fidel, hilo la hawa mahawara kuungana pamoja na kutengeneza familia naona litakuwa gumu kweli............
wanasema kuwa wanapendana lakini nadhani huo upendo wao upo katika style hiyo ya uhawara......
sidhani kama jamaa yupo tayari kujivua gamba kwa mkewe na achukue huyo hawara!

yumkini kwa mwanamke anaweza akajivua gamba, lakini huyo jamaa nachelea kabisa kukubali!
nani anaependa kukabidhiwa kaa la moto ati aendelee kulibeba mkononi akisubiri huruma ya waungwana wamsaidie..........
Huyo jamaa anakula urodana kungonoka with costless style, nadhani hiyo ndo azma yake, na kujifanya amedata na penzi la mke wa mtu!!!!!!!!!!!
 


bht, kuelewa anachokimaanisha The Boss, ingekupasa uvae gamba la kiume kwanza!
kuna mambo ambayo nyie akina bidada ni ngumu kweli kuyajua.........na infact yataendelea kubaki kuwa ya kiumeni tu hata mngefafanuliwa vipi....
 
I just don't buy this! Mara nyingi wanawake wakianguka, husingizia waume zao kuwaanzishia. Nimeshaona hiyo mara kibao. The fact ni kuwa huyo mwanamke ana matatizo na yeye ni cheater (U-cheater ulikuwa kwenye damu yake). Hilo kuwa mme alianza na yeye akamalizia ni kuwa tu hapo alisukumwa wakati alikuwa amechuchumaa.

Ndo maana mme ameacha yeye kashindwa kuacha, manake cheating yake ilikuwa REAL zaidi kuliko hiyo ya mmewe. Sasa asubiri balaa pale mme atakapogundua kuwa anaendelea (na atajua tu). Hapo ndoa yake imevurugika for ever, hata kama haitavunjika.

Mapenzi yoyote kwa mwenye mapenzi mengine ni kitu cha hatari, hata kama una kisingizio kuwa mwenzio anafanya. OK alishaingia mkenge na kujichomoa anashindwa! Asubiri the innevitable!!
 
Hapo ameremba a.k.a amedekoreti,a.k.a kapunguza makali.

Ingekuwa pouwa kama na mke wa mshefa nae angetafuta mshefa na mke wa huyo mshefa atafute mshefa mwisho watakutana kwenye mduara. Am kidding. Ntakuja baadae leo sikulala nilikuwa na kazi za kufa mtu.

neno mshefa naona ni zuri zaidi kuliko buzi lol
 
Huo ni ukweli kwa wanawake asilimia kubwa wanaotoka nje ya ndoa. Huwa hawacheat; wanapenda! Kwa hiyo usiombe mkeo atoke nje jua umemkosa kimoja. Wanaume ndio wanacheza hako kamchezo kama kunywa maji; kwa mwanamke possiblity ya kutokomea ni kubwa saana.

 

yaani..
hivi nyumba kubwa unajua usipokuwepo hapa pengo lako linaonekana????????
 
bht, kuelewa anachokimaanisha The Boss, ingekupasa uvae gamba la kiume kwanza!
kuna mambo ambayo nyie akina bidada ni ngumu kweli kuyajua.........na infact yataendelea kubaki kuwa ya kiumeni tu hata mngefafanuliwa vipi....

wanaume bana....kufafanua hujafafanua umesharukia hitimisho!
 

bacha soma hapo kwenye bluu
 
Marriage is like a Dance, No matter how the Music changes you keep on Dancing :horn:
 
Naona mjadala umekuwa mkali. Hata mimi naunga mkono hoja. Sina huruma kabisaaa na mwanaume anayekuwa cheated kama yeye ndio kalianzisha. Kwa kweli kama mumeo ni serial cheater why not join him???? Kama ngoma mtapata tu kwa mwendo huo. Its either you join the game and die or pack and leave.
 
wewe ndie unaetakiwa kuelewa hapo niliposema lies and acting comes natural...
umeonaaaa??????????

na mimi nasema bacha ndo anatakiwa kuelewa maana alikuwa na ligi na Nyamayao kwenye hilo.

wewe nilikuuliza nyie hamdanganyi na kuigiza?? or that is not nature when it comes to men? (and u did shun my qn)
 
na mimi nasema bacha ndo anatakiwa kuelewa maana alikuwa na ligi na Nyamayao kwenye hilo.

wewe nilikuuliza nyie hamdanganyi na kuigiza?? or that is not nature when it comes to men? (and u did shun my qn)

basi hukunielewa
ni hivi wanaume we lie and cheat....
but acting and lies haviko natural kwetu......tunafanya but ni rahisi kukamatwa kama mwanamke ni mjanja..
but you women....lol it so natural....kwenu....dume linaweza kukaa miaka kumi halijui mkewe ana cheat au hampendi au mtoto sio wako...lol
 

thnx dearest....naona wengi wanamkoromea mdada lakini hawataki kuona huyo mume rough aliyocheza...."if u do me, i do u"....hahahahaha..kwa waliopitia kashkash za ndo tunamuelewa sana huyu dada na wala cmlaumu kabisa, ndio njia nzuri aliyoona ya kumpunguzia machungu wa aliyokuwa anafanyiwa na mume.
 

nyumba kubwa...uko kwenye ndoa miaka mingapi???
 

kimsingi mimi na wewe tunakubaliana hapa..
sasa mimi anaenishangaza hapa,ukiona michango yangu ya page no 1
ni mj1
aliposema hakuamini mwenzie katafuta faraja nje....
its funny kwa sababu,thats how women do...
mj1 alikuwa anatufanyia usanii na yeye..lol
 

there you come nyumba kubwa!!

mi nadhani kama yanakukuta haya huna haja ya kuanza kuibia ibia kwa kuchiti, jiridhishe kuwa umefikia ukomo wa ku put up with his nosense, move on with your life (pack and leave)

maana kwa kumjoin unamkomesha nani hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…