Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

Kisa ni mahari? Nlishajiapiza, sitachukua mahari ya binti zangu.......... na atakayenipigia binti zangu namuoa yeye.

BTW mbu hebu acha kuchakachua hii sredi na picha zinazotunyima hamu ya tendo la ndoa.....khaaa.... umpige hivyo afu usiku kitandani umwombe machezo atakukatikia kweli?
 

Unfortunately, once again............ we are not looking at a comprehensive scenario, we only look at this

we may then shift to watoto wanaochomwa moto na wazazi if this is the trend

lets discuss comprehensively, physical, emotional, outcomes, aftermath

can we put emotional tortures into pics?? hell no....

But kwa waliosoma muhimbili wanakumbuka dada mmoja alinyanyaswa, akawa anakaguliwa hadi chupi, akaishia kuwa kichaa.... and it was persisnent for over ten years

now that was a torture

Mbu, i like dem demos, but i think we are shifting the discussion to abuse rather than kumsaidia huyo dada

lets go back to post number 1

what we are heading here is another therad which is already running about abuse
 
Thanks Mbu je mnafanya yaliyo mema kwa wake zenu?........msisahau hao ni dada wa rafiki,majirani zenu au damu nzito inatazama upande mmoja.


 

Big Up!...

si umeona heshima ya ukaka na ushemeji ilivyochukua nafasi yake? ala! hakuna upuuzi bana,
...kama hawezi amrudishe dadangu. Siwezi vumilia mdogo wangu ateseke ujinga ujinga hivi, eti mtazamo wa jamii...
Unless mwenyewe dada amejikubalisha maisha hayo.
 

Sijakataa kwamba hatuitajiki tuwalinde dada zetu, hapa nataka kujua ni approach gani utatumia? Hivi kama Mkuu ODM hapo alipofunga safari na kwenda kutoa kichapo Je ingekuaje angemkuta shemeji ni zaidi? na yeye kula kichapo? si ingekua dharau kwa familia yaani mnapewa kichapo wewe na dadako?
 
Thanks Mbu je mnafanya yaliyo mema kwa wake zenu?........msisahau hao ni dada wa rafiki,majirani zenu au damu nzito inatazama upande mmoja.

Hili ni swali la msingi sana

Jibu ni kwamba hakuna anyefanya mema yote kwa mwenza wake, si mme wala mke... and we have to condemn any kind of abuse be it physical or emotional

It is not right
 

Babu naomba uwe kaka yangu!! Yaani kwa hii post nipo tayari kuchanjia damu tujenge undugu wa hiyari!!
Ulikuwa wapi siku zote??
 
Zanta Mpwa wangu..... hakuna sehemu niliyoandika nimempa kichapo.......afu mi si mzuri sana kwenye kurushiana makonde........... kuna kitu kilitendeka ambacho mwenyewe alinawa mikono....! Yaani kwa kifupi alipotoka polisi alikuta mdogo wangu amehamia kwangu. Kazi ikawa namna ya kumrudisha kwake...........
 

I would have done differently,

Ningemtafuta jamaa tuongee kwanza kwani what if angekua ana nguvu zaidi akatupiga wote combined?
what if jamaa ni kichaa? would fight with kichaa?
what if walipigana mmoja akapigwa?? how would tell kwa kuona mmoja yupo chini??

again................. if we want a fair world, we need to know chanzo cha tatizo... kuna sehemu niliuliza hili swali and very unfortunately ladies wengi (wengine thorught PM) walisema bora kofi kuliko nyanyaso

Kamwe siwezi toka mbio kwenda kwa shemeji kujua kunani................ wawez ambiwa alimnyima tigo wakati siku zote wanapeana na amekuta mbegu za mtu mwingine ndani, sijui utafanya nini??

contradictions ni bomba
 

....Oooooopppssssss,....

MTM sorry kamanda. I hope na MwanajamiiOne utanielewa lengo nia na madhumuni yangu
yalikuwa kuitazama kesi hii kwa mtazamo tofauti. Mimi huangalia kiini cha yai (tatizo) sio aftermath...

Huwezi i solve case hii ati kwakuwa Mwanamke ana emotional feelings zaidi kwa comforter kuliko mumewe bila kuchungua sababu zilizopelekea hali hiyo.

Am out...
 
Nadhani sasa mtanielewa naposema huu mkasa HAUSHAURIKI. Lakini mjukuu mtiifu ameamua kuwa mkaidi wa kumwelewa babu.....

Mpaka sasa nimekubali kukuelewa Babu yangu, usijenivua bure cheo cha Utiifu. Ulishajaribu once and believe me that was not a pleasant time kwa kweli. Nilisuffer
 

mazee, usitoke bomba aisee... twende tukamtandike shemeji mazee
 
Reactions: Mbu
Basi take it from me.............. haitatoka moyoni na kuna siku yataibuka tena

Its already a spoiled soup

hapo ndipo ninapoona utofauti wa huyu mume, ngumu sana hii kwa mwanaume, mie najifikiria tu ningefanywaje/ningekuwa salama? coz nicngeeleweka kama cjui ni revenge cjui nilipata muhemko cjui mchemko, pweeehhh nadhani sasa hivi ningekuwa njoro navuna kahawa tena ningeshukuru kama nicngekuwa na ngeu au kilema, damn!
 
Mate..... umenielewa vibaya pia....... hakuna ngumi iliyorushwa.......na safari ya kwenda huko ilifanyika baada ya kujiridhisha na habari mbalimbali nlizozipata kabla hata hajamtwanga makonde....Manyanyaso aliyokuwa anampa mpaka majirani walikuwa wanayajua........Nlivyomwambia dada yangu nakuja arusha 'kukuchukua' akanambia tafazali panda basi la kwanza..... Ningefanyaje mkuu?...Sasa kumchukua kulikuwa na gharama za kulipia muda na nauli nilivyopoteza.... Polisi walikula rushwa yao wakafanya kazi stahiki.....
 

Hapo umesomeka mate

Mine was a different case.......... I just called the guy, asked him to find alternative, na sasa ni buddy!!...
 

Tumekuelewa Mbu issue uliyoiweka hapa iko sahihi nadhani hata sie tumekosea kwa kwenda deep kuliko ilivyodhamiriwa kwenye post yako. Mimi nimeelewa kuwa nia na madhumuni ya post yako ya kipigo was to drive at home another perspective of this issue.........yaani mwanamke anayenyanyaswa kwa kiwango hiki akapata faraja nje tutamlaunu au la!

MTM aksante kwa kuturudisha kwenye mstari stahiki. Hivi ulisema wewe ni Mwalimu wa Chuo gani tena??
 
Her Majesty Queen Mother Ntombi College... Mbabane Swaziland
 
Hapo umesomeka mate

Mine was a different case.......... I just called the guy, asked him to find alternative, na sasa ni buddy!!...
You were lucky..... He never picked my phone calls.....Na nikitumia simu nyingine akipokea akigundua ni mimi, anakata!........... Yaani ni type ya kuhamisha meza.......CRAP...... Ila sasa, tangu ishu iwe solved......dada yangu amepata mme aisee!
 
You were lucky..... He never picked my phone calls.....Na nikitumia simu nyingine akipokea akigundua ni mimi, anakata!........... Yaani ni type ya kuhamisha meza.......CRAP...... Ila sasa, tangu ishu iwe solved......dada yangu amepata mme aisee!

Duh... hayo ya meza simo

lanchi taim...

BTW, kuna nafasi za kufundisha baiolojia chuo cha her majesty ntombi college
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…