Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kisa ni mahari? Nlishajiapiza, sitachukua mahari ya binti zangu.......... na atakayenipigia binti zangu namuoa yeye....Hivi, kweli unaweza jifanya mpofu na kiziwi ukiona dada'ko anakula mkong'oto wa Mbwa mwizi?![]()
khaaa, acheni nidhamu za woga bana. Kuniolea dada yangu haina maana hiyo mahari itumike kumdhalilisha.
Haikubaliki. Haina nitaanzaje anzajhe wala nini, ni mapambano juu. Nimezaliwa Mwanaume nimlinde na kumtetea dadangu bana. Damu nzito..
BTW mbu hebu acha kuchakachua hii sredi na picha zinazotunyima hamu ya tendo la ndoa.....khaaa.... umpige hivyo afu usiku kitandani umwombe machezo atakukatikia kweli?