Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

Hiyo inasaidia kuondoa gundu aisee

Itakuaje mshefa tu ndio ale ndogo wakati mwenye mali anakula kubwa?
Kamanda hebu niambie hivi kama ni wewe "mkeo anakwambia hivyo how would you react' ? hii ishu si ya kitoto mazee!!
 
Zanta hapa umepiga ikulu......hii ni mojawapo ya solutions: Mdada amwambie Mshefa kuwa anaseek divorce kwani anampenda sana Mshefa hatamani kushare penzi lake na the so called Mume so naye awe tayari kumpokea with immediate effects !! hahaha Mshefa akianza kusua sua hapohapo amepata chanzo. Zanta aksante mydia.
wala usihangaike na yote hayo kamanda

we mwambie shogako kwamba umeongea na mshefa amesema ndio anamalizia divosi uone kama huyo shoga hatabadili hata namba ya simu

sio kwamba hawezi kuacha, anaweza sana ila anajibwetesha tu hapo kuna kitu cha ziada

Asprin amegusia ile ndrogo, sasa sijui ni kweli au la
 
Kamanda hebu niambie hivi kama ni wewe "mkeo anakwambia hivyo how would you react' ? hii ishu si ya kitoto mazee!!
kamanda hii issue ilishaisha long

wote wasanii....
 
Halafu Mkuu, kama haamini huyo mdada ajaribu tu kumwambia Mshefa kua ndo nimenza mchakato wa divorce nitakua huru na wewe sasa! ndo atakapoona hayo maujanja anayoongeza yatakavyopotea!

Nimeisoma na hapa page wani utaona mchango wangu

But like any other story, its worth reading more than once.....

and by doing so... you learn more and more

wala usihangaike na yote hayo kamanda

we mwambie shogako kwamba umeongea na mshefa amesema ndio anamalizia divosi uone kama huyo shoga hatabadili hata namba ya simu

sio kwamba hawezi kuacha, anaweza sana ila anajibwetesha tu hapo kuna kitu cha ziada

Asprin amegusia ile ndrogo, sasa sijui ni kweli au la

Kamanda wangu laiti ningemjua huyu Mshefa.......ningemfanyia usanii na mimi loh!! I just wish.

chauro tatizo lako una visentensi vifupi sana but una ujumbe mkubwa sana kwenye posts zako my ndugu
 
Wapendwa WanaJF.
Natumaini wote mu wazima........naombeni msaada wa namna ya kushauri.

Ni rafiki yetu kifamilia, kwa muda mrefu yeye na mumewe wamekuwa kwenye migogoro ya hapa na pale ya kindoa. Kusema ukweli mumewe amekuwa akimis-behave kwa kipindi ikiwemo kucheat, physical abuse and the like. Mke akawa anaumia, anaconfront wanagombana.. After a while mgogoro ule ukapungua (ile frequency ya wao kuja kushtaki kwetu kesi zao ukapungua na mwisho kuisha kabisa- wadau tukakaa na kumshukuru MUNGU juu ya wokovu huu maana hali ilipokuwa inaelekea ilikuwa inatishia uhai wa ndoa ile).

Juzi kanijia huyo mke ananomba ushauri kama mwanamke mwenzie. Akatoa siri ya mafanikio 'amani' ya miujiza iliyotawala kwenye ndoa yake kwa kipindi kile. Alisema alikujaamua kuwa 'mpole' asimfuatilie mumewe wala asijihangaishe naye....alitafuta 'mshefa' wa pembeni naye akawa anajilia raha kwa nafasi!!!....sikuamini lakini kutokana na matatizo aliyokuwa nayo kipindi kile nadhani nilimwelewa ingawa sikuafiki.

Sasa anadai mumewe amejirekebisha sana na amebadilika na kuwa 'mume' tatizo liko kwake amejikuta amedevelop hisia kali za mapenzi kwa 'Mshefa' kuliko kwa mumewe na kila akijaribu kumuacha huyu jamaa anashindwa maana anasindwa kujicontrol kabisa. Not only that hata 'Mshefa' huyo hana dalili za kumsaidia 'kurudi' kwa mumewe kihisia kwani kila mara anakuwa kama anamblackmail vie kuwa anampenda na eti somehow huyu mwanamke amesababisha kutokuelewana flani kati yake yeye 'Mshefa' na mkewe nyumbani kwake. So kila mdada akijaribu kumuacha 'Mshefa' mshefa anakuja juu kimapenzi yaani anachochea vile.

Mdada anasema mumewe alishagundua juu ya cheatignyake lakini akamsamehe baada ya mke kukiri na kuapa kuacha. Ila sasa ndo anashindwa kihisia yuko kwa 'Mshefa' zaidi ya mumewe. Anaomba msaada afanyeje a'rudishe' mapenzi na hisia kwa mumewe??

Amekiri kuwa alifanya kosa na anajutia kutafuta 'faraja' nje ya ndoa.

Naombeni tumsaidie .....Nitawaacknowledge msijali

Hakuna tiba zaidi ya kuachana na huyo mshefa! hakuna ushauri zaidi ya kuacha tabia mbaya ambayo haitamsaidia kitu zaidi ya kumletea matatizo makubwa ambayo hatakuja yasahau.
 
Babu ninakiri kama ningekwua mwanafunzi wa SHeria ningeangukia pua kwenye kesi hii. duh kuna vitu vingi sana nimevigundua punde nitakuja na majumuisho yake........Ama kweli mapenzi zaidi ya uyajuavyo

NADECLARE KUANZIA LEO AM ZERO KATIKA MAPENZI..............ZERO TENA ZERO YENYE MASIKIO NA KAMASI

Hebu basi apa na kujiapiza kwamba kuanzia leo ungekuwa mhadhiri usingenyaka watoto wa watu!!!

Huyu dada tayari ni Teja wa mambo yetu yale...Mpeni pole...basi!!!
 
Kwa majumuisho ya haraka haraka ninawezakusema kuwa thread hiii imeonyesha yafuatayo
Kwa wanawake:
1. Once ukishakubali kuingia ndoani, WEWE NI MALI YA MUMEO PEKE YAKE. No matter what happened USITHUBUTU kutafuta suluhisho kwa kuwa na mahusiano nje ya ndoa yako. No matter what are the causes unatakiwa KUJITULIZA ukisubiri upepo wa mapenzi toka kwa mumeo ubadili njia Hakuna atakayekuelewa kwa wewe kuwa na mahusiano nje kwa jina la kutafuta faraja, wala nini
2. Iwapo ndoa imekuwa chungu, kuliko kutafuta temporary solution ni bora ukaamua kuterminate mahusiano ya ndoa (ingawa pia hutoeleweka kijamii). Ni mwanaume pekee anayeruhusiwa, atakayeeleweka na atakayeshauriwa kutafuta temporary solution ya kwenda nje ya ndoa,
3. Mwanamke ameumbwa na hormon ya ziada ya UVUMILIVU so anatakiwa kuhakikisha anaitumia kwa manufaa yake, mumewe, ndoa na watoto wao. Asitegfemee hata siku moja mwanaume akaiaima na kuitumia kumfavor yeye. Mwanaume hana uvumilivu kwka kuwa DUNIANI WANAWAKE WANAOHITAJI SERVICE YAKE WAKO WENGI. Mwanamke aliyeBAHATIKA kuolewa anatakiwa kushikamana pale ashikwapo, lakini mwanaume aliyeoa anatakiwa kurtetemekewa, kuabudiwa na yule aliyemuoa. Kuolewa kwa mwanamke ni BAHATI so hatakiwi kuichezea.
4. Kila amuzi liko mikononi mwa mwanamke so goes the saying..Mwanamke Mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono/mdomo wake mwenyewe.

Mshefa:
1. Mshefa and all of them wanafanya wakifanyacho under the woman's mercy. Yeye kukubaliwa kuwa Mshefa ilikuwa ni uamuzi wa Mke na yeye kuendelea kuwa mshefa ni uamuzi wa mke, anatake advantage ndani ya conducive environment. ANAWEZESHWA.

Mume:
1. Kumis-behave kwenye ndoa ni sehemu ya maisha yake na ni sawa mradi tu either akumbuke familia au ajirudi kabla mambo hayajawa mabaya
2. Mke akimletea za kuleta mume ni haki yake kutafuta faraja nje ya ndoa na hilo si kosa

Generally:
1. Wanawake si "wapole' katika mahusiano kama tunavyojiaminisha/amini
2. Cheating kwa wanawake haiji pasipo sababu iwe ni loophole au inevitable forces
3. No matter what the reason is Cheating kwa mwanamke IS UNACCEPTABLE.
Usijaribu kushindana na Mwanaume

KWA MDADA:
1. Adhamirie na kuweka NIA ya kuachana na Mshefa otherwise hakuna usghauri utakaomsaidia kumwacha mshefa
 
Generally:
1. Wanawake si "wapole' katika mahusiano kama tunavyojiaminisha/amini
2. Cheating kwa wanawake haiji pasipo sababu iwe ni loophole au inevitable forces
3. No matter what the reason is Cheating kwa mwanamke IS UNACCEPTABLE.
Usijaribu kushindana na Mwanaume
Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikiee hili neno la MJ1
 
wala usihangaike na yote hayo kamanda

we mwambie shogako kwamba umeongea na mshefa amesema ndio anamalizia divosi uone kama huyo shoga hatabadili hata namba ya simu

sio kwamba hawezi kuacha, anaweza sana ila anajibwetesha tu hapo kuna kitu cha ziada

Asprin amegusia ile ndrogo, sasa sijui ni kweli au la

Hivi kuna mwanamke anaweza kutoa hiyo ndrogo kwa bwana asimpe mumewe?na mume hata asigundue?
 
MJ1,

Hizo conclusions nyingine ni zako...Ungeleta kwanza draft tuijadili.

Mimi sijasema kwamba shost wako afanye jitihada kuacha utamu anaoupata sasa kwa sababu sina alternatives za kumpatia hiyo raha na starehe tena kwa kipimo kile kile anachopimiwa.

Mwambie Babu DC anakushauri uendelee tu labda kisima kikikauka...Umenielewa???

Babu DC (1947)
 
Hahahahahahah Babu nisamehe lol naona sampling imekuruka haya naongezea
4. Once ukiamua kucheat kwa nia ya kuziba pengo katioka ndoa yako USIKIRI na wala USICHE ila kuwa mwangalifu ZAIDI lol
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
5.Na hata ukishikw on the move hakuna kukubali, sema nimebakwa

Hahahahahhahaa BB umenifurahisha kwa hii post yako. You have made my day sweetheart. Hahahahah nadhani hii inaapply kwa wote wanaume na wanawake
 
5.Na hata ukishikw on the move hakuna kukubali, sema nimebakwa

Hahahahahahahahhah,

BB...Huo ushauri wako ni hatari sana...Unadhani mwanamke akishafumaniwa anapewa nafasi ya kujitetea? Labda baada ya kutumiwa salamu za R.I.P!!!!

Hii dunia haiko fair na kwa hiyo hakuna nafasi kama hiyo kwa wajukuu zangu!!
 
Hahahahahahah Babu nisamehe lol naona sampling imekuruka haya naongezea
4. Once ukiamua kucheat kwa nia ya kuziba pengo katioka ndoa yako USIKIRI na wala USICHE ila kuwa mwangalifu ZAIDI lol

Nimekusamehe kama kawaida yangu...

Ila kamueleza shost wako kuwa cheating is very very gender sensitive!!
 
Back
Top Bottom