Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

Jamani hii thread mh........naanza kuamini ule usemi wa Hakuna penzi tamu na linalodumu akilini kamalile unalopewa wakati unalihitaji sana!! nahisi kusahaulika kwa pezi hili kwa huyu dada itachukua muda asipojidhatiti na kujifunga kibwebwe duh.........katika machungu ulinitoa, kilindini uliniibua mwe!!

Hili shefa litakuwa limempa huyu shosti wa MJ1 kitu ambacho mmewe hajawahi kumpa. Na anahofia akirudi kwa mmewe hatathubutu kumwomba ampe hiyo kitu. Na hiyo kitu huyu mshosti wa MJ1 kashanogewa, hawezi kukiacha............Sijasema TigO, msininukuu vibaya!

Yalaaaaaaaaaa............

Hivi bado mnaendelea?

Tell me...mmefikia suluhu gani?

Niliacha nimewaasa kuwa muache wafu wazike wafu wao....Mtu yuko anagida asali yake halafu watu mnataka kumwachisha utamu wake. Mtamtafutia mbadala wa huyo Mshefa? Kwa sababu mume wake tayari ana low rank......(apemigwa below na maticha wa ukweli, MJ1 upo?)!!!

We are still wandering around the prairies.....

Ulipotuacha ndo ulipotukuta kama ulivyotukuta

Jamani hii thread mh........naanza kuamini ule usemi wa Hakuna penzi tamu na linalodumu akilini kamalile unalopewa wakati unalihitaji sana!! nahisi kusahaulika kwa pezi hili kwa huyu dada itachukua muda asipojidhatiti na kujifunga kibwebwe duh.........katika machungu ulinitoa, kilindini uliniibua mwe!!
..............na ulikua wapi siku zote?

Hivi bado mnaendelea?

Tell me...mmefikia suluhu gani?

Niliacha nimewaasa kuwa muache wafu wazike wafu wao....Mtu yuko anagida asali yake halafu watu mnataka kumwachisha utamu wake. Mtamtafutia mbadala wa huyo Mshefa? Kwa sababu mume wake tayari ana low rank......(apemigwa below na maticha wa ukweli, MJ1 upo?)!!!

Babu ninakiri kama ningekwua mwanafunzi wa SHeria ningeangukia pua kwenye kesi hii. duh kuna vitu vingi sana nimevigundua punde nitakuja na majumuisho yake........Ama kweli mapenzi zaidi ya uyajuavyo

NADECLARE KUANZIA LEO AM ZERO KATIKA MAPENZI..............ZERO TENA ZERO YENYE MASIKIO NA KAMASI

Hivi bado mnaendelea?

Tell me...mmefikia suluhu gani?

Niliacha nimewaasa kuwa muache wafu wazike wafu wao....Mtu yuko anagida asali yake halafu watu mnataka kumwachisha utamu wake. Mtamtafutia mbadala wa huyo Mshefa? Kwa sababu mume wake tayari ana low rank......(apemigwa below na maticha wa ukweli, MJ1 upo?)!!!
Hamna DC aliichezea shilingi chooni, imemponyoka

Mwe mmekosa yote mmeona mumtafutie neno chafu dada wa watu.

Hili shefa litakuwa limempa huyu shosti wa MJ1 kitu ambacho mmewe hajawahi kumpa. Na anahofia akirudi kwa mmewe hatathubutu kumwomba ampe hiyo kitu. Na hiyo kitu huyu mshosti wa MJ1 kashanogewa, hawezi kukiacha............Sijasema TigO, msininukuu vibaya!

Yaani pamoja na shule yote ya Mbu wajameni na nasaha zote sredi imezunguuuukkkkaaaaaaaaaaaaaa weeeeee imeishia kwenye tIGO??

astaghafirrulllah

sioni ukweli hapo sababu si ajabu hata anayeongelewa sio member humu labda tumuulize MJI kunya anye bata ngoja kuku aharishe hamna sababu itaacha kuwekwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?

QUOTE=MTM;2377900]hata mimi nashangaa

mie nilidhani watu wapo kusaidia kumbe ni kuchimba ukweli tu halafu wasamaraiz[/QUOTE]

Lets assume this is the fact, so what can we advise?

Aombe tu nyumbani kwa baba...

Amjongee, akae kuume kwake na kisha amuombe spesho

Au amwambie tu mumewe kwamba leo mumewe afunge macho, na asijitikise yeye ana kazi nae na afanze hadi amalize atakua amendoa hisia zote za mshefa

Hahaaaaaaaaaaaaaaaa dah hii kali .

Aombe tu nyumbani kwa baba...

Amjongee, akae kuume kwake na kisha amuombe spesho

Au amwambie tu mumewe kwamba leo mumewe afunge macho, na asijitikise yeye ana kazi nae na afanze hadi amalize atakua amendoa hisia zote za mshefa

Halafu Mkuu, kama haamini huyo mdada ajaribu tu kumwambia Mshefa kua ndo nimenza mchakato wa divorce nitakua huru na wewe sasa! ndo atakapoona hayo maujanja anayoongeza yatakavyopotea!
Zanta hapa umepiga ikulu......hii ni mojawapo ya solutions: Mdada amwambie Mshefa kuwa anaseek divorce kwani anampenda sana Mshefa hatamani kushare penzi lake na the so called Mume so naye awe tayari kumpokea with immediate effects !! hahaha Mshefa akianza kusua sua hapohapo amepata chanzo. Zanta aksante mydia.

Nimeisoma na hapa page wani utaona mchango wangu
But like any other story, its worth reading more than once.....
and by doing so... you learn more and more

MTM umeona eh?? Yaani kadri unavyojitahidi kuielewa ndivyo unavyojikuta unapata maswali lukuki. Mie nimechoka kusema ukweli yaani moyo wangu umeninyong'onyea hadi basi........aliyegundua mapenzi na ndoa hakutukusudia mema kusema ukweli.
Mimi ndo maana nasisitiza huyo mshefa mhuni tu nae amepata nae pakupozea ukakasi ndo maana nasema huyo mama aachane nae kama mshefa anapenda saaana kazimia basi amwache mke wake wa nyumbani aishi na huyu shosti wa MJ1 aone hapo mshefa kama hajatoka nduki. Hii ni gia tu ya kumpumbaza huyo shosti wa MJ1 hapo hakuna kabisa true love.

Kweli kabisa Fide you are right Mshefa ni msanii tena wa kimataifa. Sasa hebu toa hints mdada afuate step zipi kumtema?? Mimi ninajiuliza swali moja ni kitu gani kinamtisha huyu dada ashindwe kumwamba Mshefa....mimi na wewe sasa BASI?! anahofia nini? kwa nini amekubali kuwa mtumwa aka msukule wa huyu Mshefa??

Dah ndo nasikia leo inaondoa gundu kwenye sekta gani ya mahusiano?

Hiyo inasaidia kuondoa gundu aisee

Itakuaje mshefa tu ndio ale ndogo wakati mwenye mali anakula kubwa?

Back
Top Bottom