MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
- #461
Jamani hii thread mh........naanza kuamini ule usemi wa Hakuna penzi tamu na linalodumu akilini kamalile unalopewa wakati unalihitaji sana!! nahisi kusahaulika kwa pezi hili kwa huyu dada itachukua muda asipojidhatiti na kujifunga kibwebwe duh.........katika machungu ulinitoa, kilindini uliniibua mwe!!