MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter

- #461
Hili shefa litakuwa limempa huyu shosti wa MJ1 kitu ambacho mmewe hajawahi kumpa. Na anahofia akirudi kwa mmewe hatathubutu kumwomba ampe hiyo kitu. Na hiyo kitu huyu mshosti wa MJ1 kashanogewa, hawezi kukiacha............Sijasema TigO, msininukuu vibaya!

Hivi bado mnaendelea?

Tell me...mmefikia suluhu gani?

Niliacha nimewaasa kuwa muache wafu wazike wafu wao....Mtu yuko anagida asali yake halafu watu mnataka kumwachisha utamu wake. Mtamtafutia mbadala wa huyo Mshefa? Kwa sababu mume wake tayari ana low rank......(apemigwa below na maticha wa ukweli, MJ1 upo?)!!!
Shost wa MJ1 kwa hiyo ataogopa kuomba maana ataulizwa "Ulikua wapi siku zote"
..............na ulikua wapi siku zote?Jamani hii thread mh........naanza kuamini ule usemi wa Hakuna penzi tamu na linalodumu akilini kamalile unalopewa wakati unalihitaji sana!! nahisi kusahaulika kwa pezi hili kwa huyu dada itachukua muda asipojidhatiti na kujifunga kibwebwe duh.........katika machungu ulinitoa, kilindini uliniibua mwe!!
Hivi bado mnaendelea?
Tell me...mmefikia suluhu gani?
Niliacha nimewaasa kuwa muache wafu wazike wafu wao....Mtu yuko anagida asali yake halafu watu mnataka kumwachisha utamu wake. Mtamtafutia mbadala wa huyo Mshefa? Kwa sababu mume wake tayari ana low rank......(apemigwa below na maticha wa ukweli, MJ1 upo?)!!!
Hamna DC aliichezea shilingi chooni, imemponyokaHivi bado mnaendelea?
Tell me...mmefikia suluhu gani?
Niliacha nimewaasa kuwa muache wafu wazike wafu wao....Mtu yuko anagida asali yake halafu watu mnataka kumwachisha utamu wake. Mtamtafutia mbadala wa huyo Mshefa? Kwa sababu mume wake tayari ana low rank......(apemigwa below na maticha wa ukweli, MJ1 upo?)!!!
Hili shefa litakuwa limempa huyu shosti wa MJ1 kitu ambacho mmewe hajawahi kumpa. Na anahofia akirudi kwa mmewe hatathubutu kumwomba ampe hiyo kitu. Na hiyo kitu huyu mshosti wa MJ1 kashanogewa, hawezi kukiacha............Sijasema TigO, msininukuu vibaya!
Hamna DC aliichezea shilingi chooni, imemponyoka
Mwe mmekosa yote mmeona mumtafutie neno chafu dada wa watu.
hahahahaYaani pamoja na shule yote ya Mbu wajameni na nasaha zote sredi imezunguuuukkkkaaaaaaaaaaaaaa weeeeee imeishia kwenye tIGO??
astaghafirrulllah
Lets assume this is the fact, so what can we advise?hata mimi nashangaa
mie nilidhani watu wapo kusaidia kumbe ni kuchimba ukweli tu halafu wasamaraiz
Pamoja MTMnakupenda BB
upeo wako ni balaa
duh
Lets assume this is the fact, so what can we advise?
Aombe tu nyumbani kwa baba...
Amjongee, akae kuume kwake na kisha amuombe spesho
Au amwambie tu mumewe kwamba leo mumewe afunge macho, na asijitikise yeye ana kazi nae na afanze hadi amalize atakua amendoa hisia zote za mshefa
Hiyo inasaidia kuondoa gundu aiseeHahaaaaaaaaaaaaaaaa dah hii kali .
Zanta hapa umepiga ikulu......hii ni mojawapo ya solutions: Mdada amwambie Mshefa kuwa anaseek divorce kwani anampenda sana Mshefa hatamani kushare penzi lake na the so called Mume so naye awe tayari kumpokea with immediate effects !! hahaha Mshefa akianza kusua sua hapohapo amepata chanzo. Zanta aksante mydia.Halafu Mkuu, kama haamini huyo mdada ajaribu tu kumwambia Mshefa kua ndo nimenza mchakato wa divorce nitakua huru na wewe sasa! ndo atakapoona hayo maujanja anayoongeza yatakavyopotea!
Nimeisoma na hapa page wani utaona mchango wangu
But like any other story, its worth reading more than once.....
and by doing so... you learn more and more
Mimi ndo maana nasisitiza huyo mshefa mhuni tu nae amepata nae pakupozea ukakasi ndo maana nasema huyo mama aachane nae kama mshefa anapenda saaana kazimia basi amwache mke wake wa nyumbani aishi na huyu shosti wa MJ1 aone hapo mshefa kama hajatoka nduki. Hii ni gia tu ya kumpumbaza huyo shosti wa MJ1 hapo hakuna kabisa true love.
Hiyo inasaidia kuondoa gundu aisee
Itakuaje mshefa tu ndio ale ndogo wakati mwenye mali anakula kubwa?