Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

abadilishe namba y simu basi kama anaona anasumbuliwa na mshefa

stage aliyofikia huyu dada na mshefa si ya kuzimiana cm, hawa wameshakuwa kama mke na mume so kubadili no. ya cm sio suluhisho, suluhisho ni huyo dada kuamua kuachana na huyo mshefa wake ingawa itamdisturb lakini inabidi coz huyo mshefa ana mke, na wanaume walivyo mashetwan akiachika tu huyo dada na mshefa atampiga chini... atakosa bara na pwani shaurize!
 
hapana babu nimeamini lol ni kwamba tu nimefurah umeniongezea Module kwenye somo langu la Gender

Natumai umeamini baada ya kuelewa na si kwa kuogopa hatima ya kutoamini (mfano kuishi kwenye tanuru la miiba milele)!!

Ngoja niache kuwatisha wajukuu zangu...ukweli mwingine unauma sana, Ni bibi yenu pekee anayeelewa hilo somo!!
 
<br />
<br />
Ushauri wa bure kwako ukija na thead yakn hapa jf andika kwa lugha moja mchanganyiko nouma haina fleva
 
Nimejifunza mengi sana kuhusu wanawake kwenye hii thread

shukrani sana MJ1
 

khaaaaa!!!.....Mwj1 nilitaka kukuletea Soulmate umfunde lakini mnhh, acha nisubiri kwanza. Ushauri gani huo eti asiache?
Unless wataka nambia 'usiche' means something tofauti niijuavyo mie...lol....Utaua wewe!
 
Ok, MJ1... hebu lete mrejesho wa MSHEFA na SHOGAKO

Au ndio paka kala mbwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…