Kwa majumuisho ya haraka haraka ninawezakusema kuwa thread hiii imeonyesha yafuatayo
Kwa wanawake:
1. Once ukishakubali kuingia ndoani, WEWE NI MALI YA MUMEO PEKE YAKE. No matter what happened USITHUBUTU kutafuta suluhisho kwa kuwa na mahusiano nje ya ndoa yako. No matter what are the causes unatakiwa KUJITULIZA ukisubiri upepo wa mapenzi toka kwa mumeo ubadili njia Hakuna atakayekuelewa kwa wewe kuwa na mahusiano nje kwa jina la kutafuta faraja, wala nini
2. Iwapo ndoa imekuwa chungu, kuliko kutafuta temporary solution ni bora ukaamua kuterminate mahusiano ya ndoa (ingawa pia hutoeleweka kijamii). Ni mwanaume pekee anayeruhusiwa, atakayeeleweka na atakayeshauriwa kutafuta temporary solution ya kwenda nje ya ndoa,
3. Mwanamke ameumbwa na hormon ya ziada ya UVUMILIVU so anatakiwa kuhakikisha anaitumia kwa manufaa yake, mumewe, ndoa na watoto wao. Asitegfemee hata siku moja mwanaume akaiaima na kuitumia kumfavor yeye. Mwanaume hana uvumilivu kwka kuwa DUNIANI WANAWAKE WANAOHITAJI SERVICE YAKE WAKO WENGI. Mwanamke aliyeBAHATIKA kuolewa anatakiwa kushikamana pale ashikwapo, lakini mwanaume aliyeoa anatakiwa kurtetemekewa, kuabudiwa na yule aliyemuoa. Kuolewa kwa mwanamke ni BAHATI so hatakiwi kuichezea.
4. Kila amuzi liko mikononi mwa mwanamke so goes the saying..Mwanamke Mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono/mdomo wake mwenyewe.
Mshefa:
1. Mshefa and all of them wanafanya wakifanyacho under the woman's mercy. Yeye kukubaliwa kuwa Mshefa ilikuwa ni uamuzi wa Mke na yeye kuendelea kuwa mshefa ni uamuzi wa mke, anatake advantage ndani ya conducive environment. ANAWEZESHWA.
Mume:
1. Kumis-behave kwenye ndoa ni sehemu ya maisha yake na ni sawa mradi tu either akumbuke familia au ajirudi kabla mambo hayajawa mabaya
2. Mke akimletea za kuleta mume ni haki yake kutafuta faraja nje ya ndoa na hilo si kosa
Generally:
1. Wanawake si "wapole' katika mahusiano kama tunavyojiaminisha/amini
2. Cheating kwa wanawake haiji pasipo sababu iwe ni loophole au inevitable forces
3. No matter what the reason is Cheating kwa mwanamke IS UNACCEPTABLE.
Usijaribu kushindana na Mwanaume
KWA MDADA:
1. Adhamirie na kuweka NIA ya kuachana na Mshefa otherwise hakuna usghauri utakaomsaidia kumwacha mshefa