Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

Basi bacha, kwa kutambua kuwa hata dada alikuwa na kiu ya ngono, baada ya mume kumtelekeza (pengine hakuwa anapatiwa haki yake kisawasawa) tumshauri dada afunguke kwa mume, amweleze anachotaka (yale mshefa anayompa ila asiseme mshefa ndo anafanyaga hayo makeke) inaweza kumsaidia kutekwa tena na mapenzi ya mume!!

mume wake yeye hakufanya kosa kutafuta faraja mpaka akapelekea huyu dada kufanya labda asichokitegemea(mshefa)?....2nakoelekea mnatakiwa muizoee hiyo hali, labda uwe mwema kwa mwenzio....ndoa za sasa ni zile za "if u do me,i do u"

ila sijawahi kusikia mwanaume akiitwa malaya ila kwa mwanamke akigawa kidogo utasikia yule dada ni malaya

Haufai kabisa wewe,inaonyesha ni kicheche wa kufa mtu.

ila sijawahi kusikia mwanaume akiitwa malaya ila kwa mwanamke akigawa kidogo utasikia yule dada ni malaya

Huo umalaya kana kwamba anafanya mwanamke peke yake....

ndipo hapo ninaposema huyu dada bado "hajaamua"...akiamua kumuacha mshefa kutoka moyoni kwake hata iweje atamuacha tu.

ndipo hapo ninaposema huyu dada bado "hajaamua"...akiamua kumuacha mshefa kutoka moyoni kwake hata iweje atamuacha tu.

hasaaa.....anashoiya tu! yaani ingekuwa rahisi sana kama ametaka maana mumewe anajua kulikuwa na mshefa sasa blackmail anayojikinga nayo sioni hata ugumu wake.

yap....hataki na hana nia ya kumwacha....hivi mshefa atakufanyia lipi wewe uharibu ndoa yako yake ikichanua? mdada bado anampenda mshefa ndio mana hajaamua bado kumwacha.

hainiingii akilini unaposema huyu mdada anampenda mshefa kuliko mumewe....................
hivi anampendaje?kwa lipi hasa mpaka ampende?
ukijaribu kubainisha kwa undani hapo unakuta ni ngono tu ndo wanayoweza kushare...............
sasa sijui hiyo ndo justification ya huo upendo?unless otherwise uniambie hapa huo upendo unaozungumziwa hapa ni upi.............

hiyo ndio point yangu, mbona mume wake aliamua na akaweza?....

Reactions: bht

mmmmh...ama kweli Empty mind is the devil's workshop

Mwanajamii one unajua kila kitu ni maamuzi toka moyoni
Kama mtu ataamua sasa nafanya hivi ..na kushikilia maamuzi yake inawezekana kabisa.
Huyu Madame amwelenze nyumba ndogo wake ameamua kuacha huu uzandiki na kuamua kuwa na mmewe pekee
Ya kale yamepita na sasa yamekuwa mapya
Kama jamaa ataendelea kung'ang'ania na dada kukataa ni dhahiri hawezi kubebwa kwa nguvu kwenda kubanjua amri ya sita
Zaidi huwa anaenda kwa maamuzi yake.
Akemee hili pepo

hiyo ndio point yangu, mbona mume wake aliamua na akaweza?....

mtu ukiamua kubadilika unaweza haijalishi unapitia magumu gani bana wee...

jamani na hizi ndoa hizi nazo aaah.....ni kwamba tumesha rule out suala la uaminifu kabisa? ni nini mbaya?

pepo ni yeye mwenyewe, ajikemee mwenyewe tuache kumsingizia shetani wakati mwingine. kwanza siku hizi hana hata kazi sisi wenyewe ni mashetani tu.

btw: hiyo avatar sio...lol

cjasema anampenda mshefa kuliko mume wake, na unapouliza anampendaje una maanisha nn, c anampenda kama kumpenda, iwe ni mapendo ya kingono au kuna mambo mengine wana share, nani anajua? kama huyu dada hana hata ka upendo kwa mbali kwa mshefa acngeweza kuiweka ndoa yake rehani kiac hiki, bado anampenda/anamuhitaji na hajaamua bado kumuacha, akiamua ataweza kama mume alivyoweza.

mtu ukiamua kubadilika unaweza haijalishi unapitia magumu gani bana wee...

jamani na hizi ndoa hizi nazo aaah.....ni kwamba tumesha rule out suala la uaminifu kabisa? ni nini mbaya?

kweli ni hatari, uaminifu naona sasa unakuwa kama ''Law of Diminishing retun''
WAUNGWANA wanasema bora ukute mwanaume ndo anatoka nje,
angalau atakuwa akijistukia sometimes,
lakini mwanamke akitoka nje basi ndo anatoka mazima...........................

hakuna 'bora' bacha....sema nyie ni wabinafsi sana, mejipa haki ya kufanya hayo kwa kuwa tu ninyi ni wanaume. inavyowaumiza nyie na sisi ni hivyo hivyo na zaidi.
kwa kweli ntaacha mwanaume awe mwanaume lakini si kwenye hili.....

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…