MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
- #241
Lizzy hayo mawazo ndo nayasamaraiz maana mh somo limeenda deep haswa! Natamani niprint akayaone yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nilishafuta zamaaaani ati 0% infidelity!!!
Mwacheni mwanamama ajilie chake bhana
midume yenyewe ya siku hizi haina hata maana
Mie nilishafuta zamaaaani ati 0% infidelity!!!
Linalo-sound kihelahela ni ATM!!Ebana kweli asee....lina sound kihelahela! Buzi linasound kaa jinga flani hivi. What do you think?
iliyobaki ni kufundishana safe sex kwa wanandoa lol
wewe unadhani mtu keshazoea lyanga-lyanga 20 years leo unamvalisha plastiki anakubali?? tena haya mambo haya balaa sana
Dawa ni kuvaa, kuvaa na kuvaaa.... je utavaa ndani ya nyumba pia??
Na kama mtu ana mshefa - do you think mshefa anavaa??
Ukishangaa ya nanihii utayaona ya nanihiiii, lenye mwanzo lina mwisho, kama waliweza kukutana wakaanzisha uhusiano bado kuna uwezekano wa kachana, ila nahisi mbona kama vile ni mke wangu huyo jamani??
mkuu mimi naweza kusema kwa uwazi kabisa
kuwa wanawake wengi hawapendi condoms...kulinganisha na wanaume..
but kwa kuwa hawawezi kusema hawapendi,wanajifanya tu sio jukumu lao...
Lizzy hayo mawazo ndo nayasamaraiz maana mh somo limeenda deep haswa! Natamani niprint akayaone yote
.Wapendwa WanaJF.
Natumaini wote mu wazima........naombeni msaada wa namna ya kushauri.
Ni rafiki yetu kifamilia, kwa muda mrefu yeye na mumewe wamekuwa kwenye migogoro ya hapa na pale ya kindoa. Kusema ukweli mumewe amekuwa akimis-behave kwa kipindi ikiwemo kucheat, physical abuse and the like. Mke akawa anaumia, anaconfront wanagombana.. After a while mgogoro ule ukapungua (ile frequency ya wao kuja kushtaki kwetu kesi zao ukapungua na mwisho kuisha kabisa- wadau tukakaa na kumshukuru MUNGU juu ya wokovu huu maana hali ilipokuwa inaelekea ilikuwa inatishia uhai wa ndoa ile).
Juzi kanijia huyo mke ananomba ushauri kama mwanamke mwenzie. Akatoa siri ya mafanikio 'amani' ya miujiza iliyotawala kwenye ndoa yake kwa kipindi kile. Alisema alikujaamua kuwa 'mpole' asimfuatilie mumewe wala asijihangaishe naye....alitafuta 'mshefa' wa pembeni naye akawa anajilia raha kwa nafasi!!!....sikuamini lakini kutokana na matatizo aliyokuwa nayo kipindi kile nadhani nilimwelewa ingawa sikuafiki.
Sasa anadai mumewe amejirekebisha sana na amebadilika na kuwa 'mume' tatizo liko kwake amejikuta amedevelop hisia kali za mapenzi kwa 'Mshefa' kuliko kwa mumewe na kila akijaribu kumuacha huyu jamaa anashindwa maana anasindwa kujicontrol kabisa. Not only that hata 'Mshefa' huyo hana dalili za kumsaidia 'kurudi' kwa mumewe kihisia kwani kila mara anakuwa kama anamblackmail vie kuwa anampenda na eti somehow huyu mwanamke amesababisha kutokuelewana flani kati yake yeye 'Mshefa' na mkewe nyumbani kwake. So kila mdada akijaribu kumuacha 'Mshefa' mshefa anakuja juu kimapenzi yaani anachochea vile.
Mdada anasema mumewe alishagundua juu ya cheatignyake lakini akamsamehe baada ya mke kukiri na kuapa kuacha. Ila sasa ndo anashindwa kihisia yuko kwa 'Mshefa' zaidi ya mumewe. Anaomba msaada afanyeje a'rudishe' mapenzi na hisia kwa mumewe??
Amekiri kuwa alifanya kosa na anajutia kutafuta 'faraja' nje ya ndoa.
Naombeni tumsaidie .....Nitawaacknowledge msijali
Kama namuona mmenyaji aisee...................
Aiseeeeeeeeeee...
Ndo hapo napoona watu wanashindwa kuangalia upande wa pili, Wanaona huyo Mfarijiwa ni haki yake kupate hilo faraja kutoka kwa mume wa mtu huku naye anasababisha ndoa ya mwanamke mwenzake kuharibika. Kama yeye alivyokuwa analalamika pindi mumewe alipomtelekeza akiwa na wanawake wengine huko ndiyo hayo hayo maumivu anayompa huyo mke wa mfariji. Huyo mdada mfarijiwa Aangalie kama yeye analofanya ni haki kwa mke wa Mfariji na kuona kuwa ni vigumu kurudi kurudisha penzi kwa mumewe.
Lol Mbu ndo nini kutamanishana na saumu hii?!
MTM imajinesheni yako lol
...tafsiri ya jambo hili yategemeana "kisu umekamatia kwenye makali au kwenye mpini"
kwa mie mtazamaji, nawaona wote watatu wamechangia makosa,
na wote wanne ni waathirika wa jambo hili lililosababishwa na huyo mume.
lol....usijefungulia tu...muda bado!
Between a guru and a savant I don't know which one you are when it comes to romantic issues.