Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

mazee, usitoke bomba aisee... twende tukamtandike shemeji mazee

...hhahha, ....pamoja kamanda (udugu pembeni jumamosi -Imarati!...!)
Nakwenda kwenye udhuru kidogo...nitarudi baadae kuangalia ushauri na lawama
anazoendelea kupewa huyu mdada.

beat1.jpg

Duh! Mkuu hizi picha... zinajieleza zenyewe.. Kwa dada zangu nadhani jamaa zangu wametulia kwani mara kwa mara nawasimulia jinsi tulivyokuwa tunafanya mazoezi ya ndondi na kina dada pale Gerezani..

Ila Jamaa atayeniolea binti zangu ana bahati mbaya kweli kwani siku nikisikia amefanya mambo kama haya..kwanza napitia kwa Padre kutubu kabisa kabla sijafanya kosa..kwani madhara yatakayompata mkwe ni makubwa zaidi ya yaliompata Mkwe wa Sadam Hussein..

Hakuna mtu atabadili akili yangu kuwa mapenzi Siyo ugomvi hata kama ataolewa na wakurya..(Joke)..

Wapendwa WanaJF.
Natumaini wote mu wazima........naombeni msaada wa namna ya kushauri.

Ni rafiki yetu kifamilia, kwa muda mrefu yeye na mumewe wamekuwa kwenye migogoro ya hapa na pale ya kindoa. Kusema ukweli mumewe amekuwa akimis-behave kwa kipindi ikiwemo kucheat, physical abuse and the like. Mke akawa anaumia, anaconfront wanagombana.. After a while mgogoro ule ukapungua (ile frequency ya wao kuja kushtaki kwetu kesi zao ukapungua na mwisho kuisha kabisa- wadau tukakaa na kumshukuru MUNGU juu ya wokovu huu maana hali ilipokuwa inaelekea ilikuwa inatishia uhai wa ndoa ile).

Juzi kanijia huyo mke ananomba ushauri kama mwanamke mwenzie. Akatoa siri ya mafanikio 'amani' ya miujiza iliyotawala kwenye ndoa yake kwa kipindi kile. Alisema alikujaamua kuwa 'mpole' asimfuatilie mumewe wala asijihangaishe naye....alitafuta 'mshefa' wa pembeni naye akawa anajilia raha kwa nafasi!!!....sikuamini lakini kutokana na matatizo aliyokuwa nayo kipindi kile nadhani nilimwelewa ingawa sikuafiki.

Sasa anadai mumewe amejirekebisha sana na amebadilika na kuwa 'mume' tatizo liko kwake amejikuta amedevelop hisia kali za mapenzi kwa 'Mshefa' kuliko kwa mumewe na kila akijaribu kumuacha huyu jamaa anashindwa maana anasindwa kujicontrol kabisa. Not only that hata 'Mshefa' huyo hana dalili za kumsaidia 'kurudi' kwa mumewe kihisia kwani kila mara anakuwa kama anamblackmail vie kuwa anampenda na eti somehow huyu mwanamke amesababisha kutokuelewana flani kati yake yeye 'Mshefa' na mkewe nyumbani kwake. So kila mdada akijaribu kumuacha 'Mshefa' mshefa anakuja juu kimapenzi yaani anachochea vile.

Mdada anasema mumewe alishagundua juu ya cheatignyake lakini akamsamehe baada ya mke kukiri na kuapa kuacha. Ila sasa ndo anashindwa kihisia yuko kwa 'Mshefa' zaidi ya mumewe. Anaomba msaada afanyeje a'rudishe' mapenzi na hisia kwa mumewe??

Amekiri kuwa alifanya kosa na anajutia kutafuta 'faraja' nje ya ndoa.

Naombeni tumsaidie .....Nitawaacknowledge msijali

MJ1

Nimeisoma tena sredi yote

Huyo mshefa ni msanii tu, hamna kitu hapo. Uless hajaoa, au ameachwa

Mwambie shogayako akimbie fasta sana kabla hataharibu kabisa nyumbani

hadithi hii inafanana na ya jamaa mmoja alikua na issue kama hiyo sasa kila akitaka kuchomoka kwa demu demu anatishia kwenda kwake, anafanya fujo hadi mbele za watu kama vile hajaolewa,

Jamaa alipokaa mbali basi huyo dada akawa yeye na pombe, kufuatilia jamaa ilibidi jamaa ahame na mji ili kuepusha mkewe kujua

MJ1

Nimeisoma tena sredi yote

Huyo mshefa ni msanii tu, hamna kitu hapo

Mwambie shogayako akimbie fasta sana kabla hataharibu kabisa nyumbani
Hahahaha........inamaana ulikuwa unachangia kabla hujaisoma.........yaani umedandia treni kwa nyuma lol

MJ1

Nimeisoma tena sredi yote

Huyo mshefa ni msanii tu, hamna kitu hapo

Mwambie shogayako akimbie fasta sana kabla hataharibu kabisa nyumbani
Halafu Mkuu, kama haamini huyo mdada ajaribu tu kumwambia Mshefa kua ndo nimenza mchakato wa divorce nitakua huru na wewe sasa! ndo atakapoona hayo maujanja anayoongeza yatakavyopotea!

Hahahaha........inamaana ulikuwa unachangia kabla hujaisoma.........yaani umedandia treni kwa nyuma lol
Nimeisoma na hapa page wani utaona mchango wangu

But like any other story, its worth reading more than once.....

and by doing so... you learn more and more

• Thanks
Reactions: bht
Halafu Mkuu, kama haamini huyo mdada ajaribu tu kumwambia Mshefa kua ndo nimenza mchakato wa divorce nitakua huru na wewe sasa! ndo atakapoona hayo maujanja anayoongeza yatakavyopotea!

ni kweli kabisa

au kama huyo mdad anasema hawzi kumuacha we subiri mshefa aseme, aisee leo nimedivosi na mke wangu uone huyo dada atakavyojua wanaachaje washefa

LOL

Usanii mtupu

Ila Jamaa atayeniolea binti zangu ana bahati mbaya kweli kwani siku nikisikia amefanya mambo kama haya..kwanza napitia kwa Padre kutubu kabisa kabla sijafanya kosa..kwani madhara yatakayompata mkwe ni makubwa zaidi ya yaliompata Mkwe wa Sadam Hussein...

Hakika tupo pamoja kwenye hilo.

MJ1

Nimeisoma tena sredi yote

Huyo mshefa ni msanii tu, hamna kitu hapo. Uless hajaoa, au ameachwa

Mwambie shogayako akimbie fasta sana kabla hataharibu kabisa nyumbani

hadithi hii inafanana na ya jamaa mmoja alikua na issue kama hiyo sasa kila akitaka kuchomoka kwa demu demu anatishia kwenda kwake, anafanya fujo hadi mbele za watu kama vile hajaolewa,

Jamaa alipokaa mbali basi huyo dada akawa yeye na pombe, kufuatilia jamaa ilibidi jamaa ahame na mji ili kuepusha mkewe kujua

Mimi ndo maana nasisitiza huyo mshefa mhuni tu nae amepata nae pakupozea ukakasi ndo maana nasema huyo mama aachane nae kama mshefa anapenda saaana kazimia basi amwache mke wake wa nyumbani aishi na huyu shosti wa MJ1 aone hapo mshefa kama hajatoka nduki. Hii ni gia tu ya kumpumbaza huyo shosti wa MJ1 hapo hakuna kabisa true love.

Umeona na wewe balaa tupu anajitafutia.

Hili shefa litakuwa limempa huyu shosti wa MJ1 kitu ambacho mmewe hajawahi kumpa. Na anahofia akirudi kwa mmewe hatathubutu kumwomba ampe hiyo kitu. Na hiyo kitu huyu mshosti wa MJ1 kashanogewa, hawezi kukiacha............Sijasema TigO, msininukuu vibaya!

Acha kujishuku, kwanza ushasema hapo.

Iribini hii hata mm niliisema, labda dada kapewa mapenzi moto moto kule. Yaani lazima kipo tu ambacho anajua mumewe hampi.

Shost wa MJ1 kwa hiyo ataogopa kuomba maana ataulizwa "Ulikua wapi siku zote"

Acha kujishuku, kwanza ushasema hapo.

Iribini hii hata mm niliisema, labda dada kapewa mapenzi moto moto kule. Yaani lazima kipo tu ambacho anajua mumewe hampi.

Hivi bado mnaendelea?

Tell me...mmefikia suluhu gani?

Niliacha nimewaasa kuwa muache wafu wazike wafu wao....Mtu yuko anagida asali yake halafu watu mnataka kumwachisha utamu wake. Mtamtafutia mbadala wa huyo Mshefa? Kwa sababu mume wake tayari ana low rank......(apemigwa below na maticha wa ukweli, MJ1 upo?)!!!

Acha kujishuku, kwanza ushasema hapo.

Iribini hii hata mm niliisema, labda dada kapewa mapenzi moto moto kule. Yaani lazima kipo tu ambacho anajua mumewe hampi.
Hapa MJ1 itabidi arudi tu kwa Shostito wake na amuulize hivi jamaa anampa nini ambacho mumewe hajawai kumpa?

Back
Top Bottom