Tena maiti inayokwenda motoni...unawezaje kuionea wivu maiti ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena maiti inayokwenda motoni...unawezaje kuionea wivu maiti ?
Kote Anakopita Anapata Watu Bila Ujanjaujanja Huo Wa Ccm, Serikali Hii Ina Shida Sehemu Siyo Bure.Kwani lisu hakutinga chato? Na alipiga nyomi bila mabarua ya kulazimishana
Watu hawataki kumuona huyu mbaguziHivi ccm walishakosa aibu kabisa. Hivi utalazimishaje watu kwenda kumsikiliza mtu?
Naona ameanza kutia grease kwenye vyuma vilivyokaza. Ngoja kwanza aisome namba tunataka mpaka aite jero Mia tanoUtabaki kusema hivyo hivyo.
Nasikia Kuna mtu amefungwa feni kiunoniUtabaki kusema hivyo hivyo.
Bravoo, kwanza kazi zenyewe za kipunda, nenda kapoteze muda siku iishe kura yako Mali yako.Hapa Halmashauri ya Jiji la Arusha tumeelekezwa kuwa uwanjani, na lazima uripoti chini ya mkuu wa kitengo chako pale uwanjani....ila trh 28.10 niko na Mitano Kwanza [Haki, Uhuru na Maendeleo ya watu]
Jana kuna jamaa yangu anasema watu walisombwa toka Rombo, Marangu, Kilema, Kirua, Old Moshi, Machame, Same, Mwanga, Siha ili kwenda kujaza nyomi la Magufuli chuo cha ushirika. Japo ameenda ila kura ni ✌️✌️✌️✌️✌️Wafanyakazi wa Chuo cha Misitu cha Olmotonyi cha wilayani Arumeru mkoani Arusha wametakiwa kufika bila kukosa ili kusikiliza sera za mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi.
Taarifa ya Mkuu wa Chuo imeeleza kuwa leo tarehe 22 Oktoba usafiri utakuwepo kuanzia 1:00 asubuhi kuwafikisha watumishi katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Wilaya, maeneo ya Usa River.
View attachment 1607780
Kwenda kwa kulazimishwa CCM pumzi kwisha alafu unajifanya mchambuzi kumbe emptyHiyo sio ya kukosa.
JPM ndani ya Chuga,
Usisimuliwe nenda mwenyewe ukajionee historia ikiandikwa.
Sasa ubaya uko wapi hao ni watumishi wa serikali na huyo wanaeenda kumsikiliza ni bosi wao ,tatizo lenu chadema hamna hao watu wa kuwaita kwa barua ndio maana uwa mnatangaza tu ,kwanini mnatangaza lengo lenu si kuita watu kama kama munatumia mitandao na magari ya matangazo kuita watu maana yake kwamba mnaitaji watu kama mnao mifukoni kwanini muwatangazie.Wafanyakazi wa Chuo cha Misitu cha Olmotonyi cha wilayani Arumeru mkoani Arusha wametakiwa kufika bila kukosa ili kusikiliza sera za mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi.
Taarifa ya Mkuu wa Chuo imeeleza kuwa leo tarehe 22 Oktoba usafiri utakuwepo kuanzia 1:00 asubuhi kuwafikisha watumishi katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Wilaya, maeneo ya Usa River.
View attachment 1607780
Kwani lisu hakutinga chato? Na alipiga nyomi bila mabarua ya kulazimishana
Kuna mwingine amefungwa mavyuma mpaka anachechemea.Nasikia Kuna mtu amefungwa feni kiunoni
Kuna mwingine kafungwa mavyuma mwilini.Nasikia Kuna mtu amefungwa feni kiunoni
Yah nimeiona hii notisi....ila 28 kufyekelea mbali huu usultanHapa Halmashauri ya Jiji la Arusha tumeelekezwa kuwa uwanjani, na lazima uripoti chini ya mkuu wa kitengo chako pale uwanjani....ila trh 28.10 niko na Mitano Kwanza [Haki, Uhuru na Maendeleo ya watu]
Kuna mwingine kafungwa mavyuma mwilini.
Kuna mwingine kafungwa mavyuma mwilini.Mwingine ana betri kwenye moyo, chaji ikiisha tu linazima.