Uchaguzi 2020 Arumeru, Arusha: Watumishi wa Chuo cha Misitu Olmotonyi watakiwa kwenda kumsikiliza Mgombea Urais wa CCM bila kukosa

Uchaguzi 2020 Arumeru, Arusha: Watumishi wa Chuo cha Misitu Olmotonyi watakiwa kwenda kumsikiliza Mgombea Urais wa CCM bila kukosa

Kwani lisu hakutinga chato? Na alipiga nyomi bila mabarua ya kulazimishana
Kote Anakopita Anapata Watu Bila Ujanjaujanja Huo Wa Ccm, Serikali Hii Ina Shida Sehemu Siyo Bure.
Yaani Watumishi Wa Umma Hofu Tupu
Bila Shaka Leo Mzee Anataka Connection
Ionekane Kajaza Uwanja Wote
 
Hapa Halmashauri ya Jiji la Arusha tumeelekezwa kuwa uwanjani, na lazima uripoti chini ya mkuu wa kitengo chako pale uwanjani....ila trh 28.10 niko na Mitano Kwanza [Haki, Uhuru na Maendeleo ya watu]
Bravoo, kwanza kazi zenyewe za kipunda, nenda kapoteze muda siku iishe kura yako Mali yako.
 
Wafanyakazi wa Chuo cha Misitu cha Olmotonyi cha wilayani Arumeru mkoani Arusha wametakiwa kufika bila kukosa ili kusikiliza sera za mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi.

Taarifa ya Mkuu wa Chuo imeeleza kuwa leo tarehe 22 Oktoba usafiri utakuwepo kuanzia 1:00 asubuhi kuwafikisha watumishi katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Wilaya, maeneo ya Usa River.

View attachment 1607780
Jana kuna jamaa yangu anasema watu walisombwa toka Rombo, Marangu, Kilema, Kirua, Old Moshi, Machame, Same, Mwanga, Siha ili kwenda kujaza nyomi la Magufuli chuo cha ushirika. Japo ameenda ila kura ni ✌️✌️✌️✌️✌️
 
Hiyo sio ya kukosa.

JPM ndani ya Chuga,

Usisimuliwe nenda mwenyewe ukajionee historia ikiandikwa.
Kwenda kwa kulazimishwa CCM pumzi kwisha alafu unajifanya mchambuzi kumbe empty
 
Wafanyakazi wa Chuo cha Misitu cha Olmotonyi cha wilayani Arumeru mkoani Arusha wametakiwa kufika bila kukosa ili kusikiliza sera za mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi.

Taarifa ya Mkuu wa Chuo imeeleza kuwa leo tarehe 22 Oktoba usafiri utakuwepo kuanzia 1:00 asubuhi kuwafikisha watumishi katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Wilaya, maeneo ya Usa River.

View attachment 1607780
Sasa ubaya uko wapi hao ni watumishi wa serikali na huyo wanaeenda kumsikiliza ni bosi wao ,tatizo lenu chadema hamna hao watu wa kuwaita kwa barua ndio maana uwa mnatangaza tu ,kwanini mnatangaza lengo lenu si kuita watu kama kama munatumia mitandao na magari ya matangazo kuita watu maana yake kwamba mnaitaji watu kama mnao mifukoni kwanini muwatangazie.
 
Hapa Halmashauri ya Jiji la Arusha tumeelekezwa kuwa uwanjani, na lazima uripoti chini ya mkuu wa kitengo chako pale uwanjani....ila trh 28.10 niko na Mitano Kwanza [Haki, Uhuru na Maendeleo ya watu]
Yah nimeiona hii notisi....ila 28 kufyekelea mbali huu usultan
 
Back
Top Bottom